Acha kuomba, hamna kitu hapa. Ni sissi watanganyika kukomboa nchi yetu. Fikiria on that lines, siyo kuombaNi mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango vinavyostahili?
Serikali naona inachelewa sana kuwaletea wananchi maendeleo.
Leo hii watu maji majumbani hakuna,
Leo hii umeme siyo wa uhakika,
Leo hii miundombinu ya barabara mibovu,
Leo hii miji uchafu umetapakaa kila kona,
Leo hii shule zina uhaba wa madarasa, vitabu, walimu wenye ujuzi nk.
Tunakuomba Rais utusaidie nchi ikae sawa.
Tunakuombea afya njema wewe na familia yako ili na wewe uhakikishe na sisi tunaishi maisha mazuri.
Jana niliponunua sukari kwa Shilingi 6500 nilitafakari sana!! Rais anajua au hajui? Kama hajui kwanini haambiwi? Kama anajua kwanini anakaa kimya?Ni mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango vinavyostahili?
Serikali naona inachelewa sana kuwaletea wananchi maendeleo.
Leo hii watu maji majumbani hakuna,
Leo hii umeme siyo wa uhakika,
Leo hii miundombinu ya barabara mibovu,
Leo hii miji uchafu umetapakaa kila kona,
Leo hii shule zina uhaba wa madarasa, vitabu, walimu wenye ujuzi nk.
Tunakuomba Rais utusaidie nchi ikae sawa.
Tunakuombea afya njema wewe na familia yako ili na wewe uhakikishe na sisi tunaishi maisha mazuri.
Kwamba ukifanya kazi kwa bidii Umeme unapatikana, Sukari inashuka bei, Wakandarasi tunalipwa, miradi inakamilika na safari za kutalii nje zinakoma!!!?Jukumu la kuishi maisha unayoyaita 'mazuri' sio la rais
Jukumu hili ni la kibinadamu ambalo wewe mwenyewe ndio unatakiwa uyafanye maisha yawe 'mazuri'
Mathalani, baadhi ya mbinu za kufanya maisha yako yawe mazuri ni pamoja na kufanya kazi kwa bidii, kuisimamia vizuri kazi au biashara au shughuli yako unayoifanya kwa ufasaha ili upate matokeo chanya na kujiongezea maarifa, stadi na ujuzi katika ulimwengu huu wa kibiashara na teknolojia
Hivyo tu yaan. Lakini ukitegemea eti dunia au serikali iyatengeneze maisha yako kuwa mazuri sio rahisi usikute hata wewe sio priority kwa serikali hii. Ishi humo
Rais yupi huyo wa kuyafanya haya unayoyasema yote? Watanzania wengi ni hamnazoNi mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango vinavyostahili?
Serikali naona inachelewa sana kuwaletea wananchi maendeleo.
Leo hii watu maji majumbani hakuna,
Leo hii umeme siyo wa uhakika,
Leo hii miundombinu ya barabara mibovu,
Leo hii miji uchafu umetapakaa kila kona,
Leo hii shule zina uhaba wa madarasa, vitabu, walimu wenye ujuzi nk.
Tunakuomba Rais utusaidie nchi ikae sawa.
Tunakuombea afya njema wewe na familia yako ili na wewe uhakikishe na sisi tunaishi maisha mazuri.
Unataka hao unaowaita wezi, wazisambaze hizo pesa za wizi kwa style ipi mkuuTatizo wanaiba pakubwa,pesa za kusambazia huduma zinapelea.Ibeni kidogo tu mtukumbuke na Sisi huku tunauhitaji.Mnatapanya Mali hovyo mkifa hawawaziki nazo zinaendelea kuchezewa hovyo Kabisa.Kuweni na huruma,Mwenyezi Mungu anapokupa hakupi ule peke yako wasambazieni na wengine.Mwenyezi Mungu awakumbushe hili.[emoji1431]
Achana nae.Kwm
Kwamba ukifanya kazi kwa bidii Umeme unapatikana, Sukari inashuka bei, Wakandarasi tunalipwa, miradi inakamilika na safari za kutalii nje zinakoma!!!?
Hii ndo tabu ya hili kundi likipata madaraka
Umeandika vizuri kwa upande wa mtu kujikwamua kiuchumi yeye kama yeye. Ndiyo maana hujasikia nikisema serikali inijengee nyumba. Huko hatujafika. Ila zipo serikali zingine katika dunia hii tunayoishi wote zinawapa hadi viwanja wananchi wake, elimu bure, matibabu bure, nk.Jukumu la kuishi maisha unayoyaita 'mazuri' sio la rais
Jukumu hili ni la kibinadamu ambalo wewe mwenyewe ndio unatakiwa uyafanye maisha yawe 'mazuri'
Mathalani, baadhi ya mbinu za kufanya maisha yako yawe mazuri ni pamoja na kufanya kazi kwa bidii, kuisimamia vizuri kazi au biashara au shughuli yako unayoifanya kwa ufasaha ili upate matokeo chanya na kujiongezea maarifa, stadi na ujuzi katika ulimwengu huu wa kibiashara na teknolojia
Hivyo tu yaan. Lakini ukitegemea eti dunia au serikali iyatengeneze maisha yako kuwa mazuri sio rahisi usikute hata wewe sio priority kwa serikali hii. Ishi humo
Hiki ndiyo kilio chetu sote!Tatizo wanaiba pakubwa,pesa za kusambazia huduma zinapelea.Ibeni kidogo tu mtukumbuke na Sisi huku tunauhitaji.Mnatapanya Mali hovyo mkifa hawawaziki nazo zinaendelea kuchezewa hovyo Kabisa.Kuweni na huruma,Mwenyezi Mungu anapokupa hakupi ule peke yako wasambazieni na wengine.Mwenyezi Mungu awakumbushe hili.🙏🏽
Kwenye afya yake na familia yake mko pamoja ila uhakika wa maisha mazuri kwa raia sidhaniNi mapema alfajiri nimeamka na kuanza kuyatafakari haya maisha tunayoishi. Najiuliza hadi lini serikali itajua ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma zote muhimu kwa viwango vinavyostahili?
Serikali naona inachelewa sana kuwaletea wananchi maendeleo.
Leo hii watu maji majumbani hakuna,
Leo hii umeme siyo wa uhakika,
Leo hii miundombinu ya barabara mibovu,
Leo hii miji uchafu umetapakaa kila kona,
Leo hii shule zina uhaba wa madarasa, vitabu, walimu wenye ujuzi nk.
Tunakuomba Rais utusaidie nchi ikae sawa.
Tunakuombea afya njema wewe na familia yako ili na wewe uhakikishe na sisi tunaishi maisha mazuri.
Umezungumza kwa uwazi ila nikukumbushe kitu kimoja tu. Serikali yeyote inayojitambua inategemea zaidi raia wake kama rasilimali kuu kuliko ambavyo unaweza kudhani. Watu wafanye kazi ikusanye mapato kwa ajili ya kuboresha mazingira ya hao watu na hali zao kwa ujumla.Jukumu la kuishi maisha unayoyaita 'mazuri' sio la rais
Jukumu hili ni la kibinadamu ambalo wewe mwenyewe ndio unatakiwa uyafanye maisha yawe 'mazuri'
Mathalani, baadhi ya mbinu za kufanya maisha yako yawe mazuri ni pamoja na kufanya kazi kwa bidii, kuisimamia vizuri kazi au biashara au shughuli yako unayoifanya kwa ufasaha ili upate matokeo chanya na kujiongezea maarifa, stadi na ujuzi katika ulimwengu huu wa kibiashara na teknolojia
Hivyo tu yaan. Lakini ukitegemea eti dunia au serikali iyatengeneze maisha yako kuwa mazuri sio rahisi usikute hata wewe sio priority kwa serikali hii. Ishi humo
Huyo jamaa ni tatizo. Wanafikiria mpaka pale njaa zao zinapoishia.Kwm