themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Mkuu stone ni tatizo, alafu jana niliweka uzi humu kuwa stone asipojumuika na wenzake, ataishia kucheza na mikopo tu, jamaa kafeli kila kona sababu ya kujificha na luga ndio tatizoHuyo ndy kiongozi ambaye anataka kusifiwa tu kwa kila jambo na anashindwa kujumuika na wenzake ktk kujadili maswala ya biashara ,kweli tulichagua kichwa cha mwendawazimu na siyo raisi wa nchi,
Hivi wanajeshi mnashindwa nini kumwondoa huyu mtu mapema mpaka anajilinda mwenyewe sijui na jeshi kutoka visiwa gani na ninyi mpo tu ?
wanajeshi mnapewa mpaka kazi ya kubagua korosho na kukagua maduka ya Forex lkn mpo tu?