sheria zetu ni dhaifu sana kwa waendesha pikipiki tumewalea vibaya sana. nchi nyingi zina endesha pikipiki kuliko tanzania kama india indonesia pakistan lakini hakuna lawama kwa waendesha pikipiki kwa sababu wanafuata sheria na sheria zao kali
Mnatuonea tuu sie bkdaboda. Nutganintena zimefyatuka ?Week kama tatu zilizopita kuna mfanyakazi wa bank moja aligongwa na pikipiki iliyokua imebeba mageti Kigamboni wakati anafanya mazoezi ya kukimbia akafariki hapo hapo.
Mwezi uliopita tuligonga pikipiki na gari ya ofisi ila uzembe ulikua wa pikipiki.
Nilimuuliza mtu kwamba, Je ni kweli mafuta ya pikipiki huwa yanawalewesha madereva wake? Maana madereva wa pikipiki za biashara wako kama kuna nati zimechomoka namna wanavyohatarisha maisha yao barabarani
Mama yangu na mtoto wangu ni binadamu kama wengine, accident inaweza kumkuta mtu yoyote. U r not special. Tambua hilo.Jaribu kidogo kuwa mtu mzima kijana ukipoteza mama yako au mwanao utasema hivyo?
Bodaboda hawana disciplinesheria zetu ni dhaifu sana kwa waendesha pikipiki tumewalea vibaya sana. nchi nyingi zina endesha pikipiki kuliko tanzania kama india indonesia pakistan lakini hakuna lawama kwa waendesha pikipiki kwa sababu wanafuata sheria na sheria zao kali
Msiwe na akili za kukariri.Andika vizuri acha jazba
yule jr rider wa pikipiki aliyeparamia gari jana Dar mama samia naye aingilie kati?Jiulize, hivi inakuwaje magari yanayobeba abiria wengi kwa mpigo, idadi ya vifo vinavyotokana na ajali za magari kuzidiwa na idadi ya vifo vinavyotokana na pikipiki ambayo kwa kawaida huwa inabeba abiria mmoja tu?
Hii ina maana frequencues za ajali za pikipiki zipo juu sana.
Kipindi cha miaka kama minne hivi zilitolewa takwimu za vifo vinavyotokana na ajali za pikipiki, kwa wastani ilikuwa ni watu 10 kwa siku moja. Sijui kwa sasa ni watu wangapi!! Lakini kwa mwaka ule vifo vilivyotokana na pikipiki vilizidi vifo vil8vyotokana na ajali za magari.
Kama unaikumbuka riloti kutoka MOI walisema wanapokea majeruhi 300 wa boda kwa siku. So hesabu inabalanceNasikia hapa dar kila wiki kuna bodaboda mia tatu 300 mpya za mkopo zinaingia barabarani, sijui kama wote hao wana leseni za udereva.
tuwafundishe sehemu za kuendeshea, ni watoto tuwalee,Yule Dogo wa Billnass alikula BuYU la hatari sana ,waache kuendesha kwa Kasi sehemu hatarishi.
wanavunja sheria watakavyo na hakuna wa kusema maana ni mchwa, wana amini sheria zinawaonea na kila mara wanahangaika na polisiBoda wamekuwa wengi kuliko abiria