Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.
Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Hakiwezi binafsishwa course ni mali ya PSSSF sio serikaliMh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.
Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Kivuko gani ni mali ya psssf?Hakiwezi binafsishwa course ni mali ya PSSSF sio serikali
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Hata bando pia, hawa sasa NDIO CCM kwenye ngozi na rangi zao halisiMh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.
Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Ila bana haya maisha yanahitaji msimamoMh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.
Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Kama ana mabosi wake?Ila bana haya maisha yanahitaji msimamo
Yani samia na kusemwa kote huku mitandaon ila yeye anashikilia pale pale tu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
MtanikumbukaKaongeza kwa Kusema
" Watu wanauliza kwanini Kigamboni tulipe wakati Tanzanite twapita bure?, "
Akajibu
" Kigamboni ni mkopo, Tanzanite sio mkopo ni mali ya serikali"
Akaongezea
" B...U...R....E havipo, hivyo wananchi wajizoeshe kulipia, na huko mbeleni mambo yote yatalipiwa kuanzia barabara na madaraja"....
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni alifumba macho,
Mbunge aliishia kucheka tu
Hivi kura ni suluhisho kumbe..Na sisi akija kuomba kura ni kumwambia hakuna kura ya bure .....kiboko ni kuitema ccm tu
Kwahiyo wamesema tutalipa kwa mda gani hiyo hela ya mkopo tutakuwa tumemaliza kuilipa??au ndo milele
Kuna mtu akifa Ndio deni litafutwaTumeanza kulipia mda sana mpaka leo deni halijaisha tu?
Hakunaga Kura Za bure mkuu.Na sisi akija kuomba kura ni kumwambia hakuna kura ya bure .....kiboko ni kuitema ccm tu