Rais Samia: Vya bure hakuna, tozo daraja la Kigamboni zitaendelea na nyingine za barabara zinakuja

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,108
93,810
Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.

Kivuko cha Kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea Serikali gharama za uendeshaji
 
Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.

Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
 
Attachments

  • 3F0E8175-225B-4E3B-B363-21A591B9E944.jpeg
    3F0E8175-225B-4E3B-B363-21A591B9E944.jpeg
    27.4 KB · Views: 6
Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.

Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Hakiwezi binafsishwa course ni mali ya PSSSF sio serikali
 
Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.

Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Hata bando pia, hawa sasa NDIO CCM kwenye ngozi na rangi zao halisi
 
Mh Rais akijibu ombi la Wabunge wa Kigamboni kuhusu kuondoa tozo za daraja, amesema kuwa lile daraja lilijengwa kwa mkopo hivyo lazima watu walipe hela kupita, vya bure havitakuwepo, hivyo wananchi wategemee kuanza lipia barabara watumiazo, zitazojengwa na ppp.

Kivuka cha kigamboni kubinafsishwa ili kuondolea serikali gharama za uendeshaji
Ila bana haya maisha yanahitaji msimamo
Yani samia na kusemwa kote huku mitandaon ila yeye anashikilia pale pale tu

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Kaongeza kwa Kusema
" Watu wanauliza kwanini Kigamboni tulipe wakati Tanzanite twapita bure?, "
Akajibu
" Kigamboni ni mkopo, Tanzanite sio mkopo ni mali ya serikali"

Akaongezea

" B...U...R....E havipo, hivyo wananchi wajizoeshe kulipia, na huko mbeleni mambo yote yatalipiwa kuanzia barabara na madaraja"....

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni alifumba macho,

Mbunge aliishia kucheka tu
 
Mtanikumbuka
 
Kwahiyo wamesema tutalipa kwa mda gani hiyo hela ya mkopo tutakuwa tumemaliza kuilipa??au ndo milele
 
Tatizo watu wanakosea wanapoipa serikali umuhimu wasio nao.

Utasikia Mh rais,

Hongera mheshimiwa rais

Mh rais tunaomba hiki, ujinga ujinga tu.

Wapuuzeni hao mafisadi, jali familia yako, wanajamii wenzako na endelea kupambana upate pesa.

Hawa serikali msiende hata kwenye event au jambo lolote wanalafanya.

Msiwape umuhimu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom