DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vijana waliokuwa mstari wa mbele katika maandamano hawakuwa na sababu ya kuingia barabarani, akibainisha kuwa kitendo hicho hakioneshi uzalendo.
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, tarehe 02 Desemba, 2025.