Ukisikia mtu anaitwa Chief au mzee huyu ni mtu Mkubwa Sana uchawini huko level yake ni sawa na RPC, RC.
Chief ni kiongozi mkuu wa wachawi anaetawala eneo fulani au kabila fulani.
Wazee ni kundi la wachawi ngunguli wabobezi hawa ndio utoa hukumu nani auwawe pale wachawi wanapoleta mashtaka yao kwenye kamati.
Chunga Sana usicheze na hizi namba mbili ni hatari kwenye ulimwengu wa ndumba.
Huwezi washinda hawa kama huna Mungu, muhimu usitafute nao vita kama power yako ni ndogo, bora wakuone mweupe Ili uwe salama.