Wakuu, Aisee ni inasikitisha na kutia hasira kwa vitendo hivi vinavyosimuliwa, kwa mara ya kwanza tumesikia mambo machafu yanayoelezea ukatili wa kutisha zaidi ya kipigo kilichozoeleka. Inaonekana wote waliowahi kukamatwa na polisi nchini wamefanyiwa ukatili mkubwa wa kijinsia na hata kingono...