Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Raisi Samia pole kwa majukumu, napenda kukukumbusha kuwa kipindi kile bando limepanda Sana, ulitoa kauli na tunashukuru bei za bando mpya zikashushwa.
Ulienda mbali na kuonya hili suala lisijirudie tena, Mimi nikiwa mtanzania na mwananchi wako napenda kukueleza kuwa hili suala limejirudia, ni either kauli yako haithaminiwi au wewe mwenyewe huithamini.
Basi waja tunasema kazi kwako, utuache tuendelee kupambana na hizi bei mpya au uingilie tena.
Ila kwa ushauri wangu kwako, simamia msimamo wako kwa maana ikiwa Jambo kama hili unatoa maelekezo Ila yanapuuzwa baada ya muda, tafsiri yake Kuna makubwa utapuuzwa pia.