Rais Samia tupia jicho sekta ya utalii na sukari lasivyo zitagharimu nchi na chama

Kuondoka na tatizo la sukari wananchi tuanzishe viwanda vidogovidogo vya kusindika miwa.Hata Ulaya kabla ya mapinduzi ya viwanda walianza na viwanda vidogo vidogo majumbani mwao!
 
Kwanza sukari inalimwa wapi? Pili ukiritimba usioshirikisha efficiency bora ufe. Sukari zanzibar kilo ni shs 500 wakati hapa dar ni 3000. Lakini serikali haitaki sukari ya zanzibar iuzwe bara
Zanzibar wanazalisha hiyo sukari wapi mkuu!
 
Kabudi aliambiwa na Magu wewe ni mkubwa kwangu kiumri lkn ni mpumbavu,kabudi kwa unyenyekevu kabisa akasimama akakisujudia kiti cha urais,akashukuru na akakaa kwa heshima kabisa.

Tumbo likihamia kichwwni ni soooo.
Profesa aliyeokotwa Jalalani!
Ulitegemea afanye kitu gani!
 
Back
Top Bottom