Rais Samia: Tumewaondoa Wamachinga kwasababu Wageni Wanaogopa Kuja Tanzania

Mwacheni si anaupiga mwingi! Na hao wageni ndio wamempa urais sawa acha awafurahishe wageni, si wanampa pesa za bure.
🤣🤣Cool down Komredi....

Wageni huwaepuki wewe....

Mh.Rais SSH amechaguliwa na KATIBA bwasheee.....

Siempre JMT
 
Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mimi nikiwaambiaga huyu mama ni afadhari arudi tuu kwao huko Zanzibar au Omani mnaniona mbaguzi. Haya Sasa oneni wenyewe ni mama gani au mzazi gani anaweza wafukuza wanawe nyumbani ili apokee wageni?
 
🤣🤣Cool down Komredi....

Wageni huwaepuki wewe....

Mh.Rais SSH amechaguliwa na KATIBA bwasheee.....

Siempre JMT
Ndio katiba imemchagua. Hajachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo yuko huru kuwatumikia wageni ambao wanampa pesa za bure kuliko kuwatumikia ambao hawajamchagua.
 
Mimi nikiwaambiaga huyu mama ni afadhari arudi tuu kwao huko Zanzibar au Omani mnaniona mbaguzi. Haya Sasa oneni wenyewe ni mama gani au mzazi gani anaweza wafukuza wanawe nyumbani ili apokee wageni?
Mama gani ambaye anawaacha wanawe waishi na kutafuta bila ya UTARATIBU NA KANUNI ZA MAISHA?!!!

Siempre JMT
 
Ndio katiba imemchagua. Hajachaguliwa na wananchi. Kwa hiyo yuko huru kuwatumikia wageni ambao wanampa pesa za bure kuliko kuwatumikia ambao hawajamchagua.
Katiba ndiyo yenye haki za hao wananchi....Katiba iko juu ya vichwa vyetu......

Mh.Rais SSH ni mwanadiplomasia mweledi wa mambo ya dunia.....

Tunachimba madini tuuze nje....
Tunajenga mahoteli ili wayatumie watalii......

Unataka tuishi kikomunisti kama KOREA YA KASKAZINI?!!!🤣🤣

Siempre JMT
 
Zanzibar inayofurika wageni iko wapi?
Ni mawazo ya kijinga sana kufanya jambo eti wageni. Utaliona jitu linajivalisha manguo ya ajabu na kufuga manywele ya ajabu, ukimuuliza anakwambia eti culture -- wazungu wanapenda culture!!! Pumbavu.
 
Oyaaaaa kuhusu hio issue ya wamachinga we acha tu watu tumeshaanza kuonja radha ya ice cream na maziwa kazi hakuna we acheni tu
 
Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app

Mimi napinga kuwa na watu bila mpangilio wanauza vitu. Huu ni uchafu wa miji yetu, hali ya usalama. Wamachinga watolewe na wakae masokoni badala ya kutanga tanga kila mahali . Uvivu tu na ulalamishi Watanzania wengine wanaacha mashamba ya bure na kukimbilia mijini kuchafua na hawapati hela ya maana wakati kilimo kinalipa kama hawa wauza mitumba wangekuwa na kundi wangeweza kufanya biashara nyingi sana na kuwa na mashamba na maduka
 
Nilimsikiliza jana nikasema hii bhagosha😂😂😂

..hana tofauti na Magufuli aliyetumia mabilioni kununua midege ya kubeba wazungu, huku watoto wanakaa chini mashuleni, na maeneo mengi Watz hawana huduma ya maji safi na salama.
 
Ndio yale yale kama ya corona, hatuwezi kusema ipo kwa sababu wageni wataacha kuja....matatizo hayatatuliwi kwa kuyafunika chini ya kapeti
EVyDkLIWkAALZXT.jpg
 
Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app

Nilisema zamani kuwa kwasasa tunaongozwa na mwana NGOs. Kila mara utasikia tuandae mradi tuwaombe wenzetu watusaidie. Hutasikia tena tunaweza

Kuwa na wamachinga kila kona ya hii inchi bila utaratibu ni upuuzi, haihitaji wageni kujua hilo
 
Back
Top Bottom