Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Tanzania hatujafikia uko kwani wageni walikuja wakafukuzwa na wamachinga china Hong Kong imejaa na bado hamna wanaowatimua na ni nchi iliyoendelea kiuchumi
Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mkuu yaani hatuwezi kuchangia bila ya maneno ya dhihaka na matusi ?!!!Msikilize mwenyewe,nilimsikia jana nikasema huyu bibi akili badala kukaa kichwani zimekaa kifuani😂😂😂
Lini nchi hii haikuwahi kuwategemea wageni kwa MIKOPO NA MISAADA?!!!!Mwambieni tunashukuru kwa kutudharaulisha kwenye nchi yetu kwa thamani ya ya misaada na mikopo kama walivyopewa masharti na hao wageni wake.
Kwa kuwa ameweka bayana kwamba yeye ndiye aliyebariki unyanyasaji wa wananchi ambao ndio waajiri wake basi aanze kufungasha virago kutoka kwenye ofisi ya umma.
Hapo amethibitisha kwamba hata kipindi JPM analalamika kuhujumiwa na wapinzani na kuchelesha maendeleo tatizo halikuwa wapinzani bali wasaidizi wake ndio waliokuwa wanamkwamisha kwa makusudi ambayo ndiyo haya yanawekwa wazi kwa wananchi kujua ni kwanini wanafukuzwa kama waharifu kwenye nchi yao.
Ufalme tayari umejidhihirisha kwamba umefitinika na kwamba wageni ndio watamchagua kuwa rais tena!!!
Nani aliiuguza.....maana mwenda sake naye alisema imechezewaMama anaponya nchi.
Kweli kabisa.Sometimes bora kukaa kimya!
Mama asithamini sana Wageni akatusahau wazawa. Awe mzalendo na sio kila kitu anawaza kumfurahisha Mzungu tu
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Jibu swali pamoja na Zanzibar kuwa na wageni wengi imeendelea kwa kiasi gani?Mapato ya zanzibar yanasimama wapi katika muungano?
Isisahaulike kazi ya serikali ni kusimamia mizani ya uchumi wa nchi....Hii awamu ya SIKISI tumepigwa.
Yaani huyo Bibi kilemba anafurahia kuwaona wageni wakifanya umachinga huku mitaani ili hali wazawa tunaonekana kuwa tishio kwa wageni siyo eeeg!???
Mfano, Dar es Salaam na Mwanza kuona wamachinga wa kigeni (Waturuki, Wachina na Wasomali) imekuwa kawaida sana.
Huyu Bibi ndicho anakifurahia!?
Tunazidi kupigwa.
Hii awamu ya SIKISI tumepigwa.

Mwacheni si anaupiga mwingi! Na hao wageni ndio wamempa urais sawa acha awafurahishe wageni, si wanampa pesa za bure.Kwajinsi walivyokuwa wamekaa hovyo ni lazima wapangwe ila kauli ya kusema kwaajili ya wageni sidhani Kama ni sahihi!..
Jibu lipo ndani ya hilo swali nililokuuliza sema huoni...Jibu swali pamoja na Zanzibar kuwa na wageni wengi imeendelea kwa kiasi gani?
Acha kumtisha Mh.Rais...muache achape kazi.Kwa kuwa ameweka bayana kwamba yeye ndiye aliyebariki unyanyasaji wa wananchi ambao ndio waajiri wake basi aanze kufungasha virago
🤣Hata mimi ninaetoka Mkoani ni mgeni pia
Sasa nimekuja kwa mara ya kwanza Jiji la Dar kweli ule mkusanyiko na wamachinga walivyo nitaacha kuogopa kweli
Sio kila mgeni ni mzungu