Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

Pole sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu!
Tukiipata hiyo nafasi tena hizo kero hamtazisikia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza makasiriko, chuki na ubinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ID zilikuwa zinatoka ontime.
Angalia baada ya sisi kupunguzwa January 2016 wangapi wamepata vitambulisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu kasema yeye toka 2014 hajawahi kupata; hapo napo mlikuwa mmefukuzwa.

Hivi kwanini mlikuwa na dharau kiasi kile?

Ukiangalia hakuna mtu yeyote alieko upande wenu. Acha mle jeuri yenu wapiuzi wakubwa nyie
 
Waweke mfumo online, wawatoe tu jamaa hata waliobaki ofisini. Nimegundua wanaopenda hiyo kazi wote wavivu.
Yaani huyu toka 2016 kweli jamani bado anaomba kazi ile ile. Maana asipopata ataendelea vile vile.
 
Mlikuwa na nyodo sana....pumbafu zenu, jiwe kiboko yenu
 
Ila mlikuwa na nyodo Sana...kuna vijamaa pale Chang'ombe kalinijibu shit mwaka 2014, kisa nadai kitambulisho changu! Kulikuwa na namba za mabosi zao nikawapigia. Wakanipa haraka siku hiyo hiyo.


Poleni sana
 
Nikupe idea? Jikusanyeni watu watano, Nendeni pale bonde la msimbazi karibia na jangwani, zameni mule mtoni muwe mnatoa mchanga, kwa siku hamkosi laki kila mmoja wenu. Kuna madogo wananitolea mchanga mule, hawajui kusoma wala kuandika, wanatoa lorry za kutosha na kunipakilia kabisa..., si chini ya laki 5 wanatengeneza kila siku, mvua ikinyesha kwao ni furaha tu, maana mchanga unakuja mwingi sana! We endelea kulia lia
 
Poleni sana. Mwendazake alitamani nchi nzima isiwe na watumishi kabisa. Alikuwa anaumia sana kuona watu wanapata mishahara
😁 😳 😁 😁 😁 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…