tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 568
Sir you didnt understand what i wrote pls, but all in all thanks for taking your time to at least say somethingAmeshatenda haki kwa kuwaachia huru wengi tu waliobambikiwa kesi.
Ameshatenda haki kwa kuwaagiza TRA na wizara ya fedha wakusanye kodi kisayansi zaidi kuliko kuwatesa walipaji.
Kutenda HAKI hakuna mwisho...huwezi sema alimetenda haki a,b,c,d... kwahiyo katika hili hapaswi kutenda haki!Ameshatenda haki kwa kuwaachia huru wengi tu waliobambikiwa kesi.
Ameshatenda haki kwa kuwaagiza TRA na wizara ya fedha wakusanye kodi kisayansi zaidi kuliko kuwatesa walipaji.
Hakika 👍Ameshatenda haki kwa kuwaachia huru wengi tu waliobambikiwa kesi.
Ameshatenda haki kwa kuwaagiza TRA na wizara ya fedha wakusanye kodi kisayansi zaidi kuliko kuwatesa walipaji.
Umeweka mbwembwe nyingi tu. Usifikiri rais ni mjinga kiasi cha kumpa cheo Dr Mpango. Endelea kuhamisha magoli.sir you didnt understand what i wrote pls, but all in all thanks for taking your time to at least say something
Nimependa neno"mnatweta".Yale yale ya kuzuga na barakoa ili kuonesha tatizo la corona ni kubwa. Barakoa zenyewe mkivaa mnatweta kwa kuhemea juu juu. Kazi kweli kweli.
Jamani Mungu aliwaumba na vichwa, acheni kumkabidhi vuchwa vyenu kigogo.
Ahahahahahah na saivi eti tuna wagonjwa 100 aisee mbinguni wataenda wachache wallah tena!Yale yale ya kuzuga na barakoa ili kuonesha tatizo la corona ni kubwa. Barakoa zenyewe mkivaa mnatweta kwa kuhemea juu juu. Kazi kweli kweli.
Hii hoja yako inakosa uhalali, tumeshaoona teuzi kadhaa zikitenguliwa muda mchache baada ya kuteuliwa muhusika.Umeweka mbwembwe nyingi tu. Usifikiri rais ni mjinga kiasi cha kumpa cheo Dr Mpango. Endelea kuhamisha magoli.
Dr Mpango yupo vizuri na nadhani sio mmoja wa wale walionasa kwenye mtego wa siasa za makundi.Hii hoja yako inakosa uhalali, tumeshaoona teuzi kadhaa zikitenguliwa muda mchache baada ya kuteuliwa muhusika.
Na hiyo inajidhihirisha kuwa binadamu hukosea.