Rais Samia Suluhu Hassan mteue Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM, urudishe Amani ya chama

Mwenyekiti wangu wa chama Rais Mama Samia Suluhu Hassan, najua ilivyokuwa kwenye wakati mgumu kumpata mrithi wa mfitini wako Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa CCM.

Nakupendekezea kijana Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Huyu kijana ni wa chama kwa asili. Amekulia chama kuanzia Chipukizi hadi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa chama kabla ya kuwa Mbunge wa Mvomero na kisha Mkuu wa Mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya.

Makalla aliondolewa madarakani na mtangulizi wako kwa fitna tu za kupigania miradi ya chama. Kitendo cha kuwa karibu na Jakaya na Mzee Mwinyi kilimgharimu kwa Magufuli akatimuliwa kwenye mfumo wa Serikali.

Makalla anaweza kutuunganisha makundi yote ya chama msigani. Makalla ni "kiboko" na "dawa" ya wapinzani. Kama kada natoa maoni yangu, mpendekeze Amos Makalla kuwa Katibu wetu Mkuu wa CCM.
#FreedomIsBack
Wewe utakuwa chadema unataka kuiua CCM
 
Huyo hata ukatibu kata hawezi
 
ANTHONY MTAKA (RC wa SIMIYU) ndo mpango mzima kama tunataka CHAMA kupiga hatua hata kiuchumi.
 
Naona kila mtu anapambania ugali wake embu muacheni mama afanye yake
 
Mwenyekiti wangu wa chama Rais Mama Samia Suluhu Hassan, najua ilivyokuwa kwenye wakati mgumu kumpata mrithi wa mfitini wako Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa CCM.

Nakupendekezea kijana Amos Gabriel Makalla kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Huyu kijana ni wa chama kwa asili. Amekulia chama kuanzia Chipukizi hadi kuwa Katibu wa Uchumi na Fedha wa chama kabla ya kuwa Mbunge wa Mvomero na kisha Mkuu wa Mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya.

Makalla aliondolewa madarakani na mtangulizi wako kwa fitna tu za kupigania miradi ya chama. Kitendo cha kuwa karibu na Jakaya na Mzee Mwinyi kilimgharimu kwa Magufuli akatimuliwa kwenye mfumo wa Serikali.

Makalla anaweza kutuunganisha makundi yote ya chama msigani. Makalla ni "kiboko" na "dawa" ya wapinzani. Kama kada natoa maoni yangu, mpendekeze Amos Makalla kuwa Katibu wetu Mkuu wa CCM.
#FreedomIsBack
Nice
 
Back
Top Bottom