Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Dodoma hawakupigania Uhuru!Kuzungumza na wazee wa Dar Es Salaam..Interesting. Dodoma wapo kina Ndugai.
Awaambie pia kuwa anaifungua Nchinaisubiria kwa hamu khotuba yake.
Mandhari ya bahari inavutia ndugu asikudanganye mtu. Dar ndio kila kitu. Waliendaga Dodoma kwa kumuogopa Jiwe tu ila mmoja mmoja watarudi sasa.Anapokelewaje na Kasimu. Kwani si anatakiwa awe Dodoma huyu bwana Kasimu.
Walisema saa 4 asubuhi, mbona wamebadilisha ghafla?
Itakuwa saa ngapi?
Thanks. Ngoja nisogee kibandani kwangu
Saa ngapi itakuwa ,ili tumsikilize Rais wetuNasubiri aungurume na Wazee wa Dar
Sijaona time ila nafikiri huwa ni majira ya saa kumi alasiri baada ya Swala ya jioniSaa ngapi itakuwa ,ili tumsikilize Rais wetu