Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Just because mtu haongei haimaanishi hafanyi kazi. Kila mtu ana personality na style yake ya kufanya kazi.Pia amekuwa kimya na makusanyo ya TRA.
Hatujui tena kinacho endelea kwenye Madini.
Hakuna tena tumbu tumbua ya mafisadi.
Amekuwa mpole na Mali za Uma
raisi hupata taarifa kutoka idara zote za deriali kila siku ... kutotangaza hakumaanishi kwamba hajui kinachoendelea hapanaPia amekuwa kimya na makusanyo ya TRA.
Hatujui tena kinacho endelea kwenye Madini.
Hakuna tena tumbu tumbua ya mafisadi.
Amekuwa mpole na Mali za Uma
Tusipende kulalamika kwa kila kitu bali tujifunze kushukuru hata kwa kidogo. Kwa hapa tulipofikia Rais Samia Suluhu amefanya kazi kubwa sana na bado kazi hiyo inaendelea.Pia amekuwa kimya na makusanyo ya TRA.
Hatujui tena kinacho endelea kwenye Madini.
Hakuna tena tumbu tumbua ya mafisadi.
Amekuwa mpole na Mali za Uma
Kisa nimekubali mama yuko kazini ndio chawa? Hivi watu mpoje.Chawa kazini
Nasikia sasa anakuja na TOZO Mpya ya Laini za simu..Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.
Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia Suluhu amefanikisha kuliongoza taifa hili.
Baadhi ya mambo aliyofanya Rais Samia Suluhu ni pamoja na
- Atumia mamlaka yake kuondoa maumivu ya tozo
-Aunganisha Kigoma na Gridi ya Taifa
-Kapu lake latoa Bil.160 ujenzi wa madarasa
-Samia Scholarship yaleta neema kwa wanafunzi
-Amehakikisha Tanzania tuna mahusiano mazuri na mataifa mengine kwa kuendeleza diplomasia safi.
Wanataka umsifie marehemu dikteta waoKisa nimekubali mama yuko kazini ndio chawa? Hivi watu mpoje.
Hana jipyaChawa kazini
Unapotenda kazi usipende kupanda juu ya paa na kupiga mayowe watu wakuone.Matendo huongea.Pia amekuwa kimya na makusanyo ya TRA.
Hatujui tena kinacho endelea kwenye Madini.
Hakuna tena tumbu tumbua ya mafisadi.
Amekuwa mpole na Mali za Uma
Hii mada inatusaidia nini?Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.