Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,290
- 15,748
bomu la mihemko sio 🐒Mwambieni mama apunguze matumizi serikalini, vinginevyo kuna bomb litalipuka.Achukue hatua kabla,mwenzake Ruto kaanza kupunguza.Hali mbaya mtaani
Kariakoo ni Dampo la bidhaa za nje, asilimia 100 ni bidhaa za njeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024
Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama cha Mapinduzi kwa kuwezesha kukua kwa biashara za watanzania pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara. Kariakoo ni eneo muhimu la biashara, akaifanye kariakoo kuwa kitovu cha biashara kwa masaa 24.
Amesema Kariakoo kuna siasa sana na wakati wa mgogoro alituma timu ya siri na amebaini hata huu mgomo baadhi ya wafanyabiashara walikuwa hata hawajui kwanini kuna mgomo zaidi ya kupewa maelezo na viongozi wao. Biashara sasa ni field, Jafo asikae Ofisini.
Rais Samia amesema ipo pia migogoro inayotokea kati ya wageni na wenyeji sokoni Kariakoo, amemtaka Jafo kuangalia suala hili kwa undani kwanini inatokea.
Timu ya siri na yenyewe inamuambia anayotaka kusikia...issue ni madai yao wafanyabiashara kama yana mashiko au la...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024
Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama cha Mapinduzi kwa kuwezesha kukua kwa biashara za watanzania pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara. Kariakoo ni eneo muhimu la biashara, akaifanye kariakoo kuwa kitovu cha biashara kwa masaa 24.
Amesema Kariakoo kuna siasa sana na wakati wa mgogoro alituma timu ya siri na amebaini hata huu mgomo baadhi ya wafanyabiashara walikuwa hata hawajui kwanini kuna mgomo zaidi ya kupewa maelezo na viongozi wao. Biashara sasa ni field, Jafo asikae Ofisini.
Akitolea mfano wa Video iliyosambaa mtandaoni ikihusisha mwanamke mtanzania na mwanaume raia wa China, Rais Samia amesema ipo pia migogoro inayotokea kati ya wageni na wenyeji sokoni Kariakoo, amemtaka Jafo kuangalia suala hili kwa undani kwanini inatokea.
kuna tatizo na hilo mkuu?!?Kariakoo ni Dampo la bidhaa za nje, asilimia 100 ni bidhaa za nje
Tena Quality ile ya chini kabisa.Kariakoo ni Dampo la bidhaa za nje, asilimia 100 ni bidhaa za nje
Ameongelea lolote kuhusu matumizi ya anasa ya Serikali yake? au anaongea mipasho tu hapoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024
Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama cha Mapinduzi kwa kuwezesha kukua kwa biashara za watanzania pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za wafanyabiashara. Kariakoo ni eneo muhimu la biashara, akaifanye kariakoo kuwa kitovu cha biashara kwa masaa 24.
Amesema Kariakoo kuna siasa sana na wakati wa mgogoro alituma timu ya siri na amebaini hata huu mgomo baadhi ya wafanyabiashara walikuwa hata hawajui kwanini kuna mgomo zaidi ya kupewa maelezo na viongozi wao. Biashara sasa ni field, Jafo asikae Ofisini.
Akitolea mfano wa Video iliyosambaa mtandaoni ikihusisha mwanamke mtanzania na mwanaume raia wa China, Rais Samia amesema ipo pia migogoro inayotokea kati ya wageni na wenyeji sokoni Kariakoo, amemtaka Jafo kuangalia suala hili kwa undani kwanini inatokea.
Kuhusu uteuzi wa bosi mpya wa TRA, Yusuph Juma Mwenda Rais, Samia amesema chini ya Kidata mapato yalikua sana na amemuondoa hapo sababu aliona mwisho atadata maana kafanya kazi kubwa. Hivyo ameteua mtu mpya ili akapambane pia kuongeza mapato na kukusanya zaidi pamoja na kuziba mianya ya upigaji. Amesema Mwenda aisende kufanya kazi kwa kuridhisha watu bali amridhishe yeye aliyemteua.
Aidha, Rais Samia amesema ipo michezo mingi inafanywa na wafanyabiashara na wawekezaji ikiwemo mashine za EFD, msamaha wa kodi, VAT, PAYE n.k hivyo kamishna mpya anapaswa kufuatilia masuala haya kwa undani wake.
Taifa la wajinga unategemea nini?Daaaa hapo kwa Mwenda Kumridhisha aliyemteua ndio lengo,Tunaibiwa mamaeee daaa
Kwa Taifa la wajinga kama Bongo unategemea nini? kumbuka Raisi anaongoza wajinga wengi sanaKumbe sio kufuata sheria bali kumridhisha aliyemteua? Duuh kazi ipo
Anawaaminisha wajinga kwamba Kariako ni sehemu muhimu sana kwa uchumi wa nchi, umuhimu upi wakati asilimia 100 products ni za nje tena lower qualitiesTena Quality ile ya chini kabisa.
Hilo hawezi ongeleaExpenditure vs income ni tatizo nchi zetu za Afrika
Kariakoo ni Dampo la bidhaa za nje, asilimia 100 ni bidhaa za nje