Rais Samia ni nyota inayong'aa

Ujue wakati unaongea mambo ya kipuuzi kuna watu wanakuangalia kwa sura ngumu? Huu upuuzi peleka Facebook! Si wengine hatumuelewi huyo mtalii.
 
Hangaya= Pamemkosa(Kisukuma)
Hiyo ndio maana halisi zingine bwebwe tu
 
Hongera sana Mheshimiwa Raisi Tunakupenda kwa kuongeza soko la ajira Wasiojitambua hawawezi kujua lakini Wewe ni Kiongozi imara na Shujaa Wanaotaka Kutugawa Washindwe,Tanzania sasa mbele kwa mbele Kazi iendelee

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Unayumiwa na wachawi Asante Sana.
RIP kamanda Hamza

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kama hujalogwa basi labda una utapia mlo
 
Sawa
 
Labda sigara nyota
 
Hivi anajisikiaje, anaishije,analalaje huku kuna watu wako magerezani kwa makosa ya kutunga?
 
Hivi kuna nchi duniani isiyokuwa na watu kama hawa, wa aina ya mleta mada hii?

Nchi hiyo itakuwa ni ya kipekee kabisa!

Ila hapa kwetu wamekuwepo wengi mno kuzidi kiasi!
 
Hivi anajisikiaje, anaishije,analalaje huku kuna watu wako magerezani kwa makosa ya kutunga?
Hili litakuwa limemgharimu kiasi kikubwa mno kuliko alivyotegemea.

Sasa anahangaika kutafuta njia za kufunika na kulimaliza ili aondoke bila kuwa na makovu. Haitawezekana.
 
Hakika....aaamin aaaamin🙏

HANGAYA WETU eeee.......


✓TAMISEMI+WIZARA YA AFYA ikaajiri vijana zaidi ya 8000 baada ya miaka mingi kupita.......

✓Tozo ya 6% ya HESLB ikafutwa kwa wanufaika wa mikopo hiyo ya elimu ya juu........

✓Kukaongezwa FEDHA katika mfuko wa HESLB(bodi ya mikopo ya elimu ya juu) ili iwapatie wanufaika wengi zaidi.......

✓Watumishi wa umma na KUPANDISHWA MADARAJA baada ya kupita miaka mingi.......

✓Watumishi wa umma na kuahidiwa kuongezewa MISHAHARA ifikapo mwaka wa bajeti 2022/2023........miaka mingi imepita.....

✓Watumishi zaidi ya 3300 waliofukuzwa warudishwa kazini baada ya KUJIENDELEZA ELIMU YA KIDATO CHA 4....

✓Bilioni za kutosha akaziingiza kwa Dr.Masanja Kadogosa ili kumalizia SGR.......

✓Bilioni za kutosha zimeendelea kuingizwa kwa ARAB CONTRACTORS na washirika wao ili kumaliza BWAWA LA KUFUA UMEME MWALIMU NYERERE......

HANGAYA
HANGAYA
HANGAYA.....

Aaah HANGAYA wetu eeeee.......😍👋👋👋👋

HAKIKA NI NYOTA ING'ARAYO

#SiempreChiefHangaya
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
😍💪👊👍🙏
 
Machifu zaidi ya MAKABILA 100 wamemsimika CHIFU MKUU CHIFU HANGAYA.......

Chifu wake ERYTHROCYTE alikuwepo ........

Chifu wake BAK alikuwepo.......

Chifu wake BRAZAJ alikuwepo......


Chifu wake mtunduizi Mshana Jr. alikuwepo............


#SiempreChifuHangaya
#SiempreSSH
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…