1. Tunataka aheshimu kiapo alichokula
2. Aheshimu katiba aliyoapa kuilinda
3. Aache kutoa kauli na maneno matupu, bali abadili sheria, zile mbaya ziwe nzuri zaidi.
4. Apandishe gemu yake ya kisiasa, badala ya kutegemea polisi ajibu hoja za wapinzani wake kwa hoja siyo kuwabambikizia kesi za ugaidi, uhujumu uchumi siyo vitu gani.