Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kazi ni yeye. Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako lakini atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa.
Ni hivi, siku ya wanawake tar 8/3. Jana hiyo hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema anataka amani nchi iwe na amani anakuambia hivi mbali na Russia & Ukraine kuamua kupigana lakini mwisho wa siku watatengeneza amani Kwa njia ya mazungumzo, maridhiano, amani huja kwa kukaa na kuzungumza. Aisee, nimependa.
Maana anajua hata tukigombana tutakaoumia ni sisi digidigi.
Nakupenda mama