Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele


UNA LAANA WEWE.
 
Chawa?Mbona walikufa kwenye maji ya moto?Bima ya afya unayoitaka umechangia kiasi gani?Miundombinu bora?Ulipata ajali ya guta lini?Sera nzuri za biashara kuizidi USA au hutaki kulipa ushuru,kodi,tozo nk?Unataka uishi Glasgow ukiwa Kazuramimba?Maisha ni hatua.Unataka kumi haujafika tatu?Ooohooo!
 
Nchi imefilisika ndo katuponya? Watu wamevuruga mfumo wa ukusanyaji kodi hadi TRA wamebaki hawana kazi.

Unasema usiyoyajua. Nchi imeuzwa hii. Tutamkumbuka Ndugai.
 
Nchi imefilisika ndo katuponya? Watu wamevuruga mfumo wa ukusanyaji kodi hadi TRA wamebaki hawana kazi.

Unasema usiyoyajua. Nchi imeuzwa hii. Tutamkumbuka Ndugai.
Viashiria vya nchi kufilisika hadi mimi niliye hapa Suruti Namtumbo nielewe ni vingapi na vikoje?
 
Ukikuwa utaelewa watu walewale waliokuwa wakiongoza vita ya kumtukana Magufuli ndio hao hao wanaomtukana Samia.

Shida yao kwasasa ni moja tu Makonda atolewe serikalini, hayo matusi yameanza baada ya ugomvi unaodaiwa wa GSM na Makonda.

Walitegemea Makonda atemwe, kaishia kupewa ukuu mkoa, sio rocket science kujua ni hakina nani wapo nyuma ya hayo matusi.

Halafu ‘bi-tozo’ siku ya baraza la Eid alirusha kijembe cha kukwepa kodi kutumia mfano wa kiongozi wa serikali ya Zanzibar aliekuwa anasaidia kutorosha karafuu kimagendo. Ile story ya Zanzibar ni ‘euphemism’ mlengwa pale ni mstaafu ambae biashara zake zinaendeshwa na watu wengine ambao ni maarufu kwa kukwepa kodi.

Huu ni mtihani wa ‘bi-tozo’ anataka kubaki kuwa remote yao watu wasioridhika; au ni muda wa kuendesha nchi kwa kichwa chake kupitia ushauri wa wataalamu wa serikali.

Kazi kwake, uzuri ni kwamba Nchimbi akiwaamulia wakorofi anawamudu ndani ya chama (mama nae technical), ni kama mtu ambae aliejiandaa kwa vita muda wowote.
 
Hivi wewe ni meya kweli au mkusanyaji wa michango ya misiba mtaani?
 
Unamwambia nani?
 
Inawezekana unafamilia na unaitwa Baba!!!!!!
 
Mwanzoni kila mtu alikua na imani nae
Watu walimpenda na kumpa support
Tulimpa nafasi aonyeshe uwezo wake lakini kazingua...!
Kila sekta kairudisha nyuma mara 10
Binafsi nilikuwa na matumaini makubwa sana kwake.

Akamteua Makonda.
Akamteua Happy
Akashinda kesi Sabaya

Hapo Imani yangu kwake ikayeyuka
 
Anaharibu nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…