sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Wewe hujui effect za kiuchumi mama akiongeza hela...uchumi lazima uwe stimulated...sio kuongeza mikopo afu mnakuja ku raise tax kwenye bidhaa muhimuMnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.
Nashauri msilipwe mpaka nchi nzima wananchi wapate maji Safi na vituo vya afya
Sio Waziri wa fedha alijinasibu atamwaga ma bilioni ya pesa mtaani kwa kulipa madeni watumishi!May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.
Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??
CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.
SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
Hayo maji safi si hupelekwa na hao wafanyajazi wenye mishahara kiduchu!Mnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.
Nashauri msilipwe mpaka nchi nzima wananchi wapate maji Safi na vituo vya afya
KWA kweli huenda wanalipana wenyewe kwa wenyeweMay mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.
Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??
CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.
SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
Mkamdai aliye limbikizaMay mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.
Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??
CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.
SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
A fool countrywideMnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.
Nashauri msilipwe mpaka nchi nzima wananchi wapate maji Safi na vituo vya afya
Vyote ulivyovitaja vinahitaji rasilimali watu ili kuviendesha na kuhudumia watu. Sasa kama mtoa hizo huduma (mfanyakazi) halipwi au kapunjwa mshahara atatoaje hizo huduma?
Mmmm hakuna bajeti vyanzo vyote vimejifia huko nchi shaghala bagala....wanategemea tozo tu ....nchi imejifia 2T zimekopwa ndani miezi 4May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa.
Kama mmelipana nyinyi tu juu kwa juu basi Watanzania tungependa kujua. Na kama bado hamjalipa Salary arrears mpaka Leo mtuambie mtalipa lini ??
CHUKUENI HATA PESA ZA TOZO MTULIPE MALIMBIKIZO YETU BANA, VIHELA VYENYEWE VYA MBOGA TU BADO DANA DANA KIBAO.
SIKU NYINGINE KAENI KIMYA MKITELEKEZA NDIO MUONGEE.... INAKERA SANA WALLAH...
Mkuu alisema wata boost uchumi kwa kulipa madeni yote ikiwemo Salary arrears, cha ajabu mpaka leo, sisi kwenye wilaya yetu tumejaza form za salary arrears tangu 18.03.2021 mpaka leo kimya tuu.Sio Waziri wa fedha alijinasibu atamwaga ma bilioni ya pesa mtaani kwa kulipa madeni watumishi!
Hapo sikumuelewa alimaanisha wastaafu au walio ktk utumishi?!
Lakini mbona vilio kila konaa?!
Hay ni mawazo mufilisi.Endelea kuota,kila mtu ana haki zake ,haki zako zisiathir zake za mwenzako.Mnawaza mishahara tu, watu huko vijijini hawana maji hawana vituo vya afya.