Haya mambo mnayoyafanya ya kuwapamba viongozi hata mahala ambapo hapastahili,kwa masilahi yenu au kwa sababu mnaguswa kupitia utawala wao hayana afya kabisa ,kwasababu watakaokuja kuteseka ni watoto wenu /wetu ,pale ambapo mtu alifanya makosa lakini akapambwa Mwisho Madhara yatatokea mbeleni na vizazi vijavyo vitateseka.Leo hii ni miaka 61 ya uhuru lakini hatujaweza hata kuhimili level 1 ya sactfactory need ,(maji,umeme,madarasa)
Kila kiongozi ana Mazuri yake na Mabaya yake sema wengi wanaoleta mazuri mara nyingi uguswa na utawala husika,mbona sijawahi kuona mnaleta strength na weakness? Ina maana hakuna hata weakness moja ? Na mkamsaidia kupropose the way forward!