Rais Samia ni imara na madhubuti kiuongozi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
39,420
Reaction score
25,440
Ndugu zangu Watanzania,

Kutokana na ushupavu, uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. Unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongozi utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo, kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ya kishujaa, kipekee ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia, ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia, ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hababaikii. Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni imara na madhubuti ndio maana Taifa haliyumbi wala kuyumbishwa, ndio maana Taifa limechanua kwa maendeleo, ndio maana Taifa linaendelea kukimbiliwa na wawekezaji wenye Tija kwa uchumi wa Taifa letu, ndio maana Taifa limejaa furaha katika vifua vya watanzania, ndio maana Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na ushupavu ,uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongoza utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo,kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ,ya kishujaa,kipekee ,ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia,ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ,ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia,Ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hatuwezi,Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni imara na madhubuti ndio maana Taifa haliyumbi wala kuyumbishwa ,ndio maana Taifa limechanua kwa maendeleo,ndio maana Taifa linaendelea kukimbiliwa na wawekezaji wenye Tija kwa uchumi wa Taifa letu,ndio maana Taifa limejaa furaha katika vifua vya watanzania,Ndio maana Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika ukanda huu wa Afrika mashariki.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Hili la bandari limeleta tufani baharini. Chombo kinayumba. Wapi kitatia nanga?

Nani amesababisha tufani hii?
 
Watanzania wenzangu ondoeni hofu maana Rais samia ni mzalendo na mwenye Dhamira ya dhati kwa maendeleo ya Taifa letu.kila afanyacho huzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na ushupavu ,uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongoza utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo,kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ,ya kishujaa,kipekee ,ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia,ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ,ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia,Ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hatuwezi,Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni imara na madhubuti ndio maana Taifa haliyumbi wala kuyumbishwa ,ndio maana Taifa limechanua kwa maendeleo,ndio maana Taifa linaendelea kukimbiliwa na wawekezaji wenye Tija kwa uchumi wa Taifa letu,ndio maana Taifa limejaa furaha katika vifua vya watanzania,Ndio maana Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika ukanda huu wa Afrika mashariki.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Tunajua unalipia nafasi ya TEUZI ili uonekane ni asset.

Kitu kimoja ukumbuke kwamba, wananchi hawana imani na serikali hususani uongozi wa juu kwa sababu ya mambo ya kipuuzi yanayoendelea hususani watu kama nyie ambao mmemzunguka Rais wa Watanzania kwa kumhadaa kuwa anakubalika na kuongoza vyema ilihali wananchi wengi hawamkubali, wanamlaumu na kunung'unika dhidi yake......

Punguza uchawa, shughulika kuibua kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi na siyo huu uzwazwa unaojiaibisha nao mitandaoni
 
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na ushupavu ,uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongozi utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo,kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ,ya kishujaa,kipekee ,ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia,ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ,ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia,Ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hababaikii.,Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni madhubuti kiutapeli na kuzurura. Hakuna kitu hapo tumepigwa. Aondoke kabisa
 
Watanzania wana imani kubwa sana na Rais samia,wana mkubali sana ,wanaridhishwa na utendaji na uchapa kazi wake uliyogusa maisha yao na kuleta matumaini katika mioyo yao .ndio sababu anaendelea kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania,ndio maana ya amani na utulivu kuendelea kutamalaki hapa nchini.
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Ni madhubuti kiutapeli na kuzurura. Hakuna kitu hapo tumepigwa. Aondoke kabisa
Utaondoka wewe na siyo Rais samia kipenzi cha watanzania na chaguo letu na kiu ya wengi katika kutuongoza na kututumikia mpaka 2030.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na ushupavu ,uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongozi utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo,kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ,ya kishujaa,kipekee ,ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia,ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ,ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia,Ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hababaikii.,Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni imara na madhubuti ndio maana Taifa haliyumbi wala kuyumbishwa ,ndio maana Taifa limechanua kwa maendeleo,ndio maana Taifa linaendelea kukimbiliwa na wawekezaji wenye Tija kwa uchumi wa Taifa letu,ndio maana Taifa limejaa furaha katika vifua vya watanzania,Ndio maana Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika ukanda huu wa Afrika mashariki.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Uwe na kiasi. Maandishi haya yanaweza kudumu kwa kitambo kidogo, siku yaja mbeleni nakushauri sana ubakie wewe na usibadilike.

Sijui ni nini kinachowavutia kwa huyo Mama yenu.
 
Rais samia amewavuta watanzania wengi maelfu kwa mamilioni ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kutokana na uchapa kazi na utendaji kazi wake uliotukuka ,wenye kugusa maisha ya watu na kuleta matumaini.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na ushupavu ,uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongozi utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo,kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ,ya kishujaa,kipekee ,ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia,ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ,ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia,Ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hababaikii.,Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni imara na madhubuti ndio maana Taifa haliyumbi wala kuyumbishwa ,ndio maana Taifa limechanua kwa maendeleo,ndio maana Taifa linaendelea kukimbiliwa na wawekezaji wenye Tija kwa uchumi wa Taifa letu,ndio maana Taifa limejaa furaha katika vifua vya watanzania,Ndio maana Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika ukanda huu wa Afrika mashariki.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mtetea wezi wa rasilimali za nchi
 
Rais samia amewavuta watanzania wengi maelfu kwa mamilioni ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kutokana na uchapa kazi na utendaji kazi wake uliotukuka ,wenye kugusa maisha ya watu na kuleta matumaini.
Ukimya uliopo nchi hii ni kutokana na utaratibu na utamaduni wa wananchi kuiheshimu #Katiba ya Nchi.
Kibali alicho nacho Mama yenu kinatokana na katiba.

#Usitusemee, wala kututaja kwa mamilioni hao unaowaota kuwa wanampenda Mama yako.
 
Back
Top Bottom