Rais Samia ni imara na madhubuti kiuongozi

Mimi ni mtetezi wa Taifa langu
Kwenye kujiita mtetezi wa hilo taifa unaloliona ni lako ndiko kunawapa uwanja mpana wa hao wezi kuhisi wako sahihi wanavyofanya.

Mwambieni Mama yenu akubali kuondoa kinga ya Rais kufunguliwa mashitaka mahakamani.
 
Acha porojo wewe.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kutokana na ushupavu ,uimara na umadhubuti wa Rais samia katika kuliongoza Taifa letu unaweza kumuita jina lolote lile na likamfaa mama huyu jasiri na madhubuti. unaweza kumwita jemedari hodari au jasiri muongoza njia au mama wa shoka au mama mchapa kazi. Vyovyote utakavyo mwita katika kuonyesha ushupavu na uimara wake kiuongozi utakuwa hujakosea hata kidogo na hakuna atakaye kushangaa hata kidogo,kwa kuwa kila mmoja hata kipofu ameona kwa kugusa makubwa ,ya kishujaa,kipekee ,ya kuigwa aliyoyafanya Rais samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.

Ni kazi ya kutukuka ameifanya Rais samia,ni kazi ya kupendeza ameifanya Rais samia ,ni kishindo cha maendeleo kimefanywa na Rais samia,Ni mipango ya ushindi imetekelezwa na Rais samia. Ni kiongozi Aliyelishika Na kuligusa Taifa kila Eneo palipohitajika mkono wake.Hateteleki wala hababaikii.,Hatua zake kimaendeleo zimekuwa ni za mipango na mikakati yenye kuleta matumaini kwa watanzania.

Ni imara na madhubuti ndio maana Taifa haliyumbi wala kuyumbishwa ,ndio maana Taifa limechanua kwa maendeleo,ndio maana Taifa linaendelea kukimbiliwa na wawekezaji wenye Tija kwa uchumi wa Taifa letu,ndio maana Taifa limejaa furaha katika vifua vya watanzania,Ndio maana Tanzania inaongoza kwa kasi ya ukuaji wa uchumi katika ukanda huu wa Afrika mashariki.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwi Kwi Kwi
 
Mefisadi mutamuuwa, juzi hutba Dodoma kwani sekunde 30 ilifika? Duh ndio hutba ya kitaifa hio? Tena ndo siku ya kukumbuka nyuma yote na walotufikisha hapa maashallah tulipo. Halafu mboni nlikohoa vibaya? Eeeh jamani nae binadamu vooo
 
Umeandika hovyo utafikiri mtoto wa chekechea, hata hueleweki ulitaka kuandika nini.
 
Ukimya uliopo nchi hii ni kutokana na utaratibu na utamaduni wa wananchi kuiheshimu #Katiba ya Nchi.
Kibali alicho nacho Mama yenu kinatokana na katiba.

#Usitusemee, wala kututaja kwa mamilioni hao unaowaota kuwa wanampenda Mama yako.

Watanzania wamesema hapana kwenye mkataba wa bandari sababu una loopholes nyingi za kitapeli. Wao wanakomaa nao. Sijajua nia hasa ni nini, ila kuna kila dalili kuna sehemu wataukataa. Lini na wapi, Mwenyezi Mungu ndiye anayejua
 
Back
Top Bottom