Rais Samia ni Corporate Leader

Rais Samia ni Corporate Leader

Unaweza kukuta mtu kama wewe hata kuiongoza familia yako tu ya mke mmoja na mtoto mmoja imekushinda.
Unaweza kuta wewe hapo hata asubuhi hujapata chai lakini una bundle la kutukana watu mitandaoni.
 
Nimeuona utofauti wa Rais Samia kwenye suala la Uwekezaji hana mchezo nalo kabisa.

Hapa Oman amekuja na documentary kabisa yenye full presentation ya maeneo ya kuwekeza ana Profile kabisa ya Tanzania.

Kwa Muwekezaji anachagua eneo ambalo linamvutia anakwenda kuwekeza na mambo yanafanyika.

Hana siasa nyingi ni matokeo tu na hivi ndivyo Dunia inavyokwenda.
She is just remotely controlled
 
Unaishi dunia gani wewe?
Mpaka leo unaamini kuna beberu kwenye karne ya 21 chini ya globalization?
Unawaita mabeberu wakija kufungua mashamba hapa nchini watatoka na kibarua huko makwao au watachukua wa hapahapa kwetu?
Mnawaita majina mabaya wakati watuwenu wanamaliza shule hamuwaajir? Wakija na technology siyo faida kwa nchi?
Hawatanunua kuku kutoka kwa babu yako kijiji cha jirani??
pumba tu hizi, imperialism ipo ya kutosha. Kuna nchi africa hii ambazo benki kuu zao ni tawi la benki kuu ya ufaransa.
Sisi kutumia shilingi kama thamani ya fedha yetu ni ubeberu wa kutosha, shilingi ndo fedha yenye thamani ndogo sana kwenye mtiririko wa fedha duniani.
 
Attachments

  • shillingi.JPG
    shillingi.JPG
    56 KB · Views: 9
Unakusudia kusemann hapo

Back
Top Bottom