The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,576
Au Kikulacho😁Snitch
Wote waliopewa nafasi ya kutoa Salam za rambirambi wamemtaja Dr Fatma na hawajamtaja kabisa huyu mama mwenye nguo nyeupe sijui kwann.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
Inashangaza!...Huyo Fatuma ndiye alitambulishwa na Marehemu.Sasa kama Marehemu alimtambulisha kote Dr. Fatuma, huyo mwingine anatokea wapi? Kwa nini hakujitokeza wakati Dr. Fatuma anatambulishwa, na kubisha kama yeye ndio Mke halali? Kwa nini mtu asubiri mtu afe, kisha ajitokeze? Ni muda sasa kwa Wanasheria kuyaangalia haya mambo...
Yule wa kwanza kama ana ndoa..makaratasi asubiri mirathi tuuuInashangaza!...Huyo Fatuma ndiye alitambulishwa na Marehemu.
Macho mwanitolea.....Kanga ya mjane imeandikwaje?