masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,859
- 15,054
- Thread starter
-
- #61
Ni kweli Polepole aliteuliwa na Magufuli, na hilo ni mbaya zaidi, mbaya kwa sababu Polepole anafikiri yupo pale kumwimbia sifa na utukufu Mafufuli.Inaonyesha ni jinsi gani uelewa wako ulivyo mdogo. Kwanza mama Samia siye aliyemteua Ubunge Polepole. Polepole aliteuliwa na Magufuli.
Kuhusu hilo la "kula kwa urefu wa kamba yako ...." hata kama wanaCCM mtakuwa mmeielewa tofauti hilo halibadili maana halisi ya alichokisema. Uzuri alitoa pia mifano ya malipo kwenye meli na ujenzi wa barabara unavyokuwa compromised .....!!
Kumuondoa Polepole ni sawa kwa kuwa ni KIROBOTO ndani ya CCM na ana uchungu ila anachokisema ni kweli .... Maza kachemka na kaonyesha msimamo wake wazi kuhusu anavyoamini kuhusu RUSWA.
Huyu Pole pole ni muharifu kama Sabaya tu. Ndio aliongoza campaign za kuwanunua waunga mkono. Na walilipa pesa nyingi sana na yeye akawa mpigaji humohumo.Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Hata mkiwa watu 10 ku differ ni chachu ya mjadalaKwa CCM kukosoa ni issue ya kutumbuliwa, nchi ya watu milioni 60 hatuwezi kuwa na mawazo sawa acheni watu waongee
Upinzani umezaliwa ndani ya ccmWakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Kweli kabisa, Polepole is a spineless criminal.Huyu Pole pole ni muharifu kama Sabaya tu. Ndio aliongoza campaign za kuwanunua waunga mkono. Na walilipa pesa nyingi sana na yeye akawa mpigaji humohumo.
Hebu fikiria mtu kama Waitara ndio wa kununua 600m au akina Mwambe, Kuchauka nk?
Afunguliwe mashitaka
Mtoa mada apigwe chini Kwa kosa lipi wao kama serikali kama waliona maneno hayo Yana ukakasi wangejibu mapema kuondoa hii Hali na Jana msemaji wa serikali alikua Hana habari hii na mtuache tulivyoelewa ndio hivyohivyo tumeelewaWakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Kwa hiyi unasema unafiki katika siasa ni poa tu!Baadhi ya watu wanampinga Polepole kisa tu yeye hakutoka hadharani kupinga yaliyokua yanafanyika kipindi cha Magu,wanasahau kua kukaa jwake kimya kipindi kile,hakuhalalishi eti mabaya ya kipindi hiki kuendelelea kufanyika pasipo kukemewa na yeye au yeyote anayeona mambo hayaendi sawia.
Upinzani kwa maana ya mawazo mbadala upo siku zote, kwenye vikao vya chama.Upinzani umezaliwa ndani ya ccm
Ulitaka Uhuru upi bwashee,?ule Uhuru wa kutukana na kuwaita watu mafisadi wakiwa ccm,uku wakija upande wa pili wanakuwa wakombozi; maana kama Uhuru wa kutukana nilikuwa naona hapa jamii foram,kila siku mlikuwa mnatukana mpaka Magufuri akatamani malaika wangeshuka wakazima hii mitandao.maso pa kyindi tumvumilie tu Polepole kwa kuwa anatumia uhuru wa maoni ulioruhusiwa na Rais SSH mwenyewe alipopokea madaraka ya kuongoza Nchi baada ya yule Dikteta kufariki na kuzikwa Chato.
Watanzania hatukuzoea kunyimwa haki ya kujieleza kama alivyoiminya Mwendazake Magufuli
Kwahiyo asikosoe sababu ya maviete??Alipokuwa anakula ugali yeye alikuwa anasifia utamu wa ma VIETE tu!
Aende bench na asifie viti vya daladala!
Ni kweli ipo ndio maana mleta mada amesema mama amtimue sloslow kwa kuwa ni jipuUpinzani kwa maana ya mawazo mbadala upo siku zote, kwenye vikao vya chama.
Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Huwa wanawatukana hata wazee wale ambao wanakosoa hata kama ni constructive criticism, Mimi sijajua mpaka Leo kwamba huwa wanatumwa na wakubwa wao au huwa wanajiamulia tu ili kujipendekeza ?!!!Kwahio yoyote mwenye kauli mbadala apigwe chini ?
Sio kwamba nasema polepole ana hoja za nguvu lakini sio vema kuzima hoja kwa kutumia nguvu....
Na wewe kama mwananchi unaona sawa kabisa mtu apigwe chini sababu ya mawazo yake (kesho ukipigwa wewe chini sababu kama hio je?); Unaona tunaweza kujenga nchi kwa kupigana chini ? Huoni kwamba njia sahihi ni kuonyesha uduni wa hilo lisemwalo na sio kuzibana midomo?
Kiukweli nashangaa mwenyekiti wetu wa chama kwanini hawamvui uanachama huyu mnafiki PolepoleWakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.
Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.
Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.
Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri.
Polepole ni kirusi ndani ya CCM, inatakiwa afukuzwe aende akawe mpinzani rasmi kenge huyoKwa CCM kukosoa ni issue ya kutumbuliwa, nchi ya watu milioni 60 hatuwezi kuwa na mawazo sawa acheni watu waongee