Rais Samia, Mawaziri wako ndio wanaokuzunguka

Rais Samia, Mawaziri wako ndio wanaokuzunguka

IMG_2104.jpg
 
Mkulu vunja Bunge Futa serikali yako yooote kila mtu arudi kwao.
Agiza Mkuu wa Jeshi la Wananchi aongoze nchi kwa week moja tu.
Kaa na wenye uchungu na nchi wenye weledi wakusaidie kupanga baraza dogo la mawaziri.
Wapo unaohitaji kuwafukuza kazi bila woga wala haya… hazina afya umeme utalii habari etc

Utatushukuru baadae
Hakuna kitu kimenisikitisha kama TRC kukataa tenda ya kujenga kitu hicho hicho Kwa billion 600, na kutafuta mkandarasi WA juu Kwa billion 1,119 tofauti ya Bei ni billion (1,119 toa billion 600) sawa na billion 519 imepotea!! Nchi Yangu Tanzania, halafu watu wapo oficeni wanakunywa chai
Adhabu ya hili Kwa nchi nyingine ni kufilisiwa na kunyongwa
 
Mkulu vunja Bunge Futa serikali yako yooote kila mtu arudi kwao.
Agiza Mkuu wa Jeshi la Wananchi aongoze nchi kwa week moja tu.
Kaa na wenye uchungu na nchi wenye weledi wakusaidie kupanga baraza dogo la mawaziri.
Wapo unaohitaji kuwafukuza kazi bila woga wala haya… hazina afya umeme utalii habari etc

Utatushukuru baadae
Kikwete atamruhusu afanye hivyo?
 
Back
Top Bottom