Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,181
- 29,915
Ni kweli, siku hizi inatolewa na serikali ila kipindi kile tu ndo ilikuwa inatolewa na jpmMiddle class lini tutajielewa?hii inayofanya yote ni serikali ya ccm sio President Samia!fedha inatolewa na serikali SIO President Samia!wake up and smell the roses
hakika ujenzi umerud kwa kasi sana now..........naona construction industry imeanza kurudi kwa kasi....morogoro road na bagamoyo road wau wameanza kuweka vitu kama zamani...maeneo ya goba na bunju naona kumeanza kuwa busy sasa kama zamani...
Mkuu swala la kushindwa mkandarasi mara nyingi siyo la kwake binafsi.Mjenge sasa na siyo kuwa kero kwa wananchi kwa miradi kutokamilika au kukamilika chini ya kiwango cha chini.
Hiyo ni confidence kwa serikali Awamu ya 6.naona construction industry imeanza kurudi kwa kasi....morogoro road na bagamoyo road wau wameanza kuweka vitu kama zamani...maeneo ya goba na bunju naona kumeanza kuwa busy sasa kama zamani...
Kwa malaymen, huwa wanafikiri mradi fedha zipo basi automatically umepata nyumba!Huwa mnalalamika hampewi pesa za kukamilisha miradi kwa wakati halafu mwishowe mnaishia kutumbuliwa kwa kusemwa mpaka mnazimia, sasa kwa haya mapambio yenu tusisikie mbele ya safari mnaanza malalamiko yenu ya kutopewa pesa za kukamilisha miradi kwa wakati.
Hiyo ni confidence kwa serikali Awamu ya 6.
Mara zote, construction industry ndio pointer ya uchumi kukua au kufa.
Ujenzi ukishamiri basi ina maana uchumi unaanza kukua.
Ujenzi ukisimama maana yake uchumi unakufa.
Sasa hivi ujenzi umerudi kwa kasi sanahususan mafundi maiko wanapeta tu. All in all mafundi maiko wanatusaidia sana huiu mtaani.
Mwaka jana CRB walishasema makandarasi zaidi ya 2,000 walibwaga manyanga, nami nilikuwemo.Bodi c ipo, C.R.B Kama cjakosea, wafanyiwe tathmin Kwanza 7bu fani inahusika 1kwa1 na maisha ya watu..mf. majengo ndo tunayatumia kujifcha, barabara/madaraja yanatumika kusafrisha n.k
Pole boss, apo takwmu imejumlisha na wale kanjanja?Mwaka jana CRB walishasema makandarasi zaidi ya 2,000 walibwaga manyanga, nami nilikuwemo
Kuna kanjanja kuliko fundi Maiko wa Fosi akaunti?Pole boss, apo takwmu imejumlisha na wale kanjanja?
🙄..uyo Ni mtu na roboKuna kanjanja kuliko fundi Maiko wa Fosi akaunti?
Usituamulie na kutupangia cha kufanya.Mjenge sasa na siyo kuwa kero kwa wananchi kwa miradi kutokamilika au kukamilika chini ya kiwango cha chini.