ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,467
- 89,887
Urais hauna Raha gani? Una heshima sio Raha ,Ikulu hakuna Raha ni riskSisi tulipe yeye aendelee kula raha, kwanini yeye mshahara wake haukatwi kodi? hana uzalendo wowote na nchi.
Kwanini wanaloga waende Ikulu? muulize kama anajua hata bei ya kiberiti ni shs ngapi?Urais hauna Raha gani? Una heshima sio Raha ,Ikulu hakuna Raha ni risk
Kaka habari ya vita hapo Israel!Kwanini wanaloga waende Ikulu? muulize kama anajua hata bei ya kiberiti ni shs ngapi?
amesemaje kuhusu ufisadi?Rais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi.
My Take: Naked truth na ujumbe umefika,kazi iendelee ππ
View: https://www.instagram.com/p/C9erOqrtfw_/?igsh=amM1ZDUxcHR0bWpl
Hakuna asiyependa kulipa kodi mkuu, shida kubwa ni kwamba kodi zetu zinagharamia anasa za wanasiasa. Mwaka huu wametenga bilioni 980 kunua magari, mwaka jana walitenga bilioni 550. Haya ni matumizi mabaya ya kodi, kwa nini wasinunue magari ya bei rahisi ambayo ni manageable? Bajeti ya mishahara ni kubwa kuliko ile ya maendeleo, why? Mean tunakula sana kuliko kuzalishaRais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi.
My Take: Naked truth na ujumbe umefika,kazi iendelee ππ
View: https://www.instagram.com/p/C9erOqrtfw_/?igsh=amM1ZDUxcHR0bWpl
Mbona chawa wako wanadai fedha ya maendeleo yote unatoa wewe?Rais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi.
My Take: Naked truth na ujumbe umefika,kazi iendelee ππ
View: https://www.instagram.com/p/C9erOqrtfw_/?igsh=amM1ZDUxcHR0bWpl
Nchi hii ni tajiri. Mama aache ubabaifu.Rais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi.
Hii ni zaidi ya Matumizi aisee πππππππAmesemaje kuhusu matumizi makubwa ya serikali yake? Huu ni msafara wake hii leo.
View attachment 3043793
Inasikitisha sana hii nchi mkuu.Hii ni zaidi ya Matumizi aisee πππππππ
Wasingekua wanagombaniaUrais hauna Raha gani? Una heshima sio Raha ,Ikulu hakuna Raha ni risk
Amesemaje kuhusu matumizi makubwa ya serikali yake? Huu ni msafara wake hii leo.
View attachment 3043793
Idadi ya chini kabisa msafara una gari 140.Amesemaje kuhusu matumizi makubwa ya serikali yake? Huu ni msafara wake hii leo.
View attachment 3043793
Una ushahidi wa kuloga? Ikulu Kuna heshima ya kutumika Wananchi.Kwanini wanaloga waende Ikulu? muulize kama anajua hata bei ya kiberiti ni shs ngapi?