4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,515
- 13,353
Kaisha yakanyanga , huyu mama kama hana pressure, safari hii ataipata maana jambo la bandari ndo kwanza limeanza,Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.
Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.
Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.
Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.
Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
Tatizo la viongozi wetu wanatuona watanzania ni majuha isipokuwa wao tu waliopo madarakani ndio wenye akili.Kaisha yakanyanga , huyu mama kama hana pressure, safari hii ataipata maana jambo la bandari ndo kwanza limeanza,
Ushauri akaibe pesa kwingine amalizane na Warabu vinginevyo sie watu ambao Mungu alisha amua kutumia , Mungu anasema haya ni manyunyu, mvua kamili tena ya mawe na upepo mkali inakuja , haitaacha watu salama.
Ujumbe ufike tu, naamanisha nini nasema ,mwendazake tulimwambia kupitia jf hii , akaona watu wa kwenye mtandao tu wapumbavu
Twende tu mda ni mwalim
ACHA kudemka wewe bi mkubwa. Bandari zetu tumesema HAPANANa Id yake ni Mpya huyu atakufa na kihoro cha chuki
Ufupisho kivip wakati huo ndio mkataba mama?Elewa nilichokwambia kwamba kilichokwenda bungeni ni ufupisho tu wa kile kitakachosainiwa kibiashara kati ya pande mbili. Hatuhitaji kujibizana kama watoto wadogo.
Mkuu unaongea kama umekatwa kichwaMkataba wenye ukomo ni ule wa biashara sio ule uliopelekwa bungeni.
Bungeni pameenda IGA ambayo ni sawa na ufupisho wa nini kinakwenda kufanyika.
Consession agreements ni mikataba ya utendaji inayosainiwa kati ya mwekezaji na wazalendo, hiyo ndio ina ukomo, hiyo ndio inayokuwa na mambo yote ya pesa na mengine mengi tu ya kibiashara.
Kuna lease agreements ni mikataba ya ukodishaji ambayo DPW anakodishwa ardhi yetu atakayotumia kibiashara.
Wanasheria pori wa mjini wanapotosha mamilioni ya watu lengo lao huu uwekezaji usifanyike, lakini ni sawa na kumpiga teke chura wanamuongezea mwendo tu.
Wewe ambaye huelewi chochote ndio tatizo kubwa zaidi.Mkuu unaongea kama umekatwa kichwa
Mada ni Magufuli,mistari mingi umemuongelea Magufuli, patheticKama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.
Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.
Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.
Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.
Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
Kwani mkataba ukifutwa, mchakato ikaanza UPYA watapoteza nini?Mkataba wenye ukomo ni ule wa biashara sio ule uliopelekwa bungeni.
Bungeni pameenda IGA ambayo ni sawa na ufupisho wa nini kinakwenda kufanyika.
Consession agreements ni mikataba ya utendaji inayosainiwa kati ya mwekezaji na wazalendo, hiyo ndio ina ukomo, hiyo ndio inayokuwa na mambo yote ya pesa na mengine mengi tu ya kibiashara.
Kuna lease agreements ni mikataba ya ukodishaji ambayo DPW anakodishwa ardhi yetu atakayotumia kibiashara.
Wanasheria pori wa mjini wanapotosha mamilioni ya watu lengo lao huu uwekezaji usifanyike, lakini ni sawa na kumpiga teke chura wanamuongezea mwendo tu.
Unamshauri akaibe? Futa hiyo mtumishishi!!Kaisha yakanyanga , huyu mama kama hana pressure, safari hii ataipata maana jambo la bandari ndo kwanza limeanza,
Ushauri akaibe pesa kwingine amalizane na Warabu vinginevyo sie watu ambao Mungu alisha amua kutumia , Mungu anasema haya ni manyunyu, mvua kamili tena ya mawe na upepo mkali inakuja , haitaacha watu salama.
Ujumbe ufike tu, naamanisha nini nasema ,mwendazake tulimwambia kupitia jf hii , akaona watu wa kwenye mtandao tu wapumbavu
Twende tu mda ni mwalim
Ufutwe kwa wewe kushindwa kuuelewa vyema?, dawa ni kukuelimisha wewe na wengine wa aina yako.Kwani mkataba ukifutwa, mchakato ikaanza UPYA watapoteza nini?
Hivi Mwajiriwa ukikatazwa kitu na boss wako, utabishana naye au utatii?
Kati ya MWAJIRI na MWAJIRIWA, nani anapaswa amuelimishe mwenzie?Ufutwe kwa wewe kushindwa kuuelewa vyema?, dawa ni kukuelimisha wewe na wengine wa aina yako.
Wananchi wa humu mitandaoni ndio wamekataa, wa kule Mtwara kwenye kilimo cha korosha wanautaka huu uwekezaji.Kati ya MWAJIRI na MWAJIRIWA, nani anapaswa amuelimishe mwenzie?
Wananchi wamekataa, msijitie maruhani!!!
Kwahiyo nani wa kumuelimisha Prof Shivji kuhusu mkataba huu hapo Lumumbav?Wananchi wa humu mitandaoni ndio wamekataa, wa kule Mtwara kwenye kilimo cha korosha wanautaka huu uwekezaji.
Wapiga domo wa humu JF huwa wanakataa kila kinachotaka kufanywa na serikali, ni mpaka waje kuona faida zake ndio katika hali ya unafiki wanajifanya kukubali kinachofanyika.
Bora akaiba rudisha pesa za watu, kwani hawaibi ?wizi ni dhambi ndio ila si wanaiba kila siku na kwao ni heri tu na kama ndivyo akaibe tena rudisha pesa za watu ila hakuna kabidhi bandari za watuUnamshauri akaibe? Futa hiyo mtumishishi!!
Trillion 5 usawa huu unatoa wapi Kwa mfano?Bora akaiba rudisha pesa za watu, kwani hawaibi ?wizi ni dhambi ndio ila si wanaiba kila siku na kwao ni heri tu na kama ndivyo akaibe tena rudisha pesa za watu ila hakuna kabidhi bandari za watu
Wafaa, watajua hawajui, ngoma nzito sana , kama kweli T5 sio mchezo wameyakanyaga Mungu wangu hatari sana mkuu, ila si anawabana kila aliepokea mgao au vipi?Trillion 5 usawa huu unatoa wapi Kwa mfano?
Mtu kuachiwa na Mahakama siyo kwamba hajatenda kosa maana kule kuna mambo mengi ikiwemo Ujanja wa kisheria mfano rahisi ni Afande Rama aliyeliwa Tigo huko Zanzibar shaidi ambaye ni daktari amejibu maswali vibaya na siyo kiufundi wa kisheria Afande Rama kaachiwa huru haya sasa wewe unaamini Afande Rama hakuliwa jicho. Kuna muda mahakama zinataka ujibu kiufundi na ufuate taratibu zote kama sheria inavyoongoza kitu ambacho mara nyingi hukosewa kwakuwa milolongo ya sheria ni mingi sana ndiyo maana ni rahisi sana kushinda kesi kuliko kufungwa.Kama mtakumbuka hata Rais wa Awamu ya Tano alishupaza shingo na kuziba masikio kwenye mambo mengi waliyoyalalamikia wananchi. Alikuwa hashauriki, inshu ya Makinikia aliziba masikio na hakusikiliza ushauri wa mtu yeyote.
Mbaya zaidi alivuka mipaka na kuwadhuru, kuwapiga, kuwafungulia kesi za uongo, kuwatisha, na kuwaua wote waliokosoa. Mfano mzuri ni Tundu Lissu aliyemiminiwa risasi nyingi kwa kukosoa suala la Makinikia, lakini yote kwa yote aliishia kwenye aibu kubwa sana.
Ninaona Rais Samia anaelekea njia hiyo hiyo ya mtangulizi wake. Kwenye hili suala la Bandari za Tanganyika watu wameanza kutishwa, wengine wamefunguliwa kesi kwa mgongo wa nyuma, wengine wanaitwa kuhojiwa, Rais amekataa kusikiliza maoni ya wananchi, wengine wanaoanzisha maandamano ya amani wanakamatwa, na tunaweza kushuhudia watu wanauwawa.
Watanzania tuliombee taifa letu na tumuombe Mungu kwa ajili ya bandari zetu wanazopewa bure hawa wajomba wa Dubai.
Raisi Samia ameshupaza shingo na kuziba masikio.
Pumbavu wenda mna nia ya kuibua kesi ya kigaidi ya Mbowe kama mnavyo fanya kwa Wakili Madereka, alafu kama kesi inaanza upya rudisha pesa yake aliowalipa pumbavuMtu kuachiwa na Mahakama siyo kwamba hajatenda kosa maana kule kuna mambo mengi ikiwemo Ujanja wa kisheria mfano rahisi ni Afande Rama aliyeliwa Tigo huko Zanzibar shaidi ambaye ni daktari amejibu maswali vibaya na siyo kiufundi wa kisheria Afande Rama kaachiwa huru haya sasa wewe unaamini Afande Rama hakuliwa jicho. Kuna muda mahakama zinataka ujibu kiufundi na ufuate taratibu zote kama sheria inavyoongoza kitu ambacho mara nyingi hukosewa kwakuwa milolongo ya sheria ni mingi sana ndiyo maana ni rahisi sana kushinda kesi kuliko kufungwa.
Bandari ibinafsishwe inafanya kazi chini ya viwango hivyo Nchi haifaidiki. Mfano ukiwa Arusha,Moshi,Manyara,Mara Biadhaa nyingi zinatokea Mombasa na sababu ni moja tu bandari inafanya kazi chini ya viwango
Prof Shivji alichanganya BIT na IGA, akadhani wajibu na haki ni kwa pande zote mbili.Kwahiyo nani wa kumuelimisha Prof Shivji kuhusu mkataba huu hapo Lumumbav?
Ninyi wahuni, dawa yenu inachemka!!