Hakuna aliye msafi huko mbogamboga wanachojali ni kuyajaza matumbo yao na kuwapatia ajira ndugu zao.Haya makundi ndani ya CCM hayana faida kwa mustakabali wa Taifa, kila anayeingia anasimanga uongozi uliomtangulia, hichi ni chama au genge la wahuni wanaoshindana kula mali za Nchi?
Fanyeni kazi muache kutafutana uchawi.
Hata kwenye sheria na maandiko ya kitaaluma watu wanatajwa. Tunamtaja Nyerere, Yesu na Mtume ambao hatukuwaona sembuse Magufuli!Ahahaha,,yaani nyie ni mtahira, jitu lishakufa nyie Bado mnaabudu tu, kwaiyo furaha yenu Samia awe anamtaja marehemu wenu kila anapohutubia,,
Nyie muda simrefu mtavua nguo mtembee uchi
Kumtaja mtu kwenye maongezi hainaanishi yupo naye.Mama hajawahi kujitenga na Magufuli na jana tu amemtaja kwenye uzinduzi wa barabara ya Morocco - Mwenge.
Adui muombee njaa na mifarakano kama ilivyo sasaAwamu ya 1 hadi 6 zote zipo CCM. Ufisadi ni imani ya CCM. Msimchanganye mama... Mwambieni huo ndio utamaduni wenu.
Kipindi JPM anawasema vibaya watungulizi wake mlishangilia leo mnaumia yeye kusemwaKwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.
Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?
Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama
Chutama
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ccm ni chaka baya sana na walafi wa kutawala.Tukae 'at ease' jamani! Hakuna aliyewahi kukaa madarakani hapa mamaland akaacha kumaliza mihula yake kwasababu za kisiasa au kufanya vibaya. Wote walikuwa wana uhakika wa kumaliza miaka 10 ukiachilia mbali sababu za kiafya au majanga ya asili.
Sasa mama na wafuasi wake, waendelee kufanya wafanyayo bila kumnyooshea mtu kidole kwakuwa wataendelea kufanya hivyo mpaka 2030, hakuna wa kuwazuia, ya nini sasa kupigizana kelele?
Umerogwa weweSasa hivi kwenye siasa za bongo ni battle kati ya Magufuli na Samia.
Kuna watu wapo nyuma ya haya majina mawili wanayatumia kwa maslahi yao.
Kuna watu wanaomtukana Magu ili kumfrahisha Mama aone yeye anatenda mambo ya maana kuliko mtangulizi wake, lakini sio kweli wanamtakia mema Mama wanafanya hivyo ili kupata support ya ikulu. Wanataka warudishe power iliyopotea.
Ila ukirudi kwa wananchi nyota ya mchezo ni Magufuli.
Wakati hayo yote yakiendelea ndani ya CCM jamaa wa Chadema hawaelewi hata sasa hivi wanapigania nini mara mama anaupiga mwingi mara mama anazingua mara katiba mpya yani wamepoteana hawajui hata kinaendelea nini kwenye maisha yao.
Nyie watu mnataka nini sasa? Huyu Magufuli alikuwa anawabagaza watangulizi wake kuwa hawakufanya kitu ila yeye ndiyo kafanya sana. Na alikuwa analaumu sana mikataba aliyoingia Kikwete kuwa ilikuwa ya kinyonyaji.Kwa aina ya watu aliowateua tangu ameingia madarakani. Kwa kauli zake dhidi ya Magufuli na kwa matendo yake ni ukweli ulio wazi Wananchi wanaona wamepoteza kuliko kupata.
Anayesema Awamu ya tano kulikuwa na Ufisadi na Anayesema Awamu ya sita ufisadi Umerudi nani anaaminika?
Mama Ulipojitenga na Magufuli ulifanya usaliti mkubwa. Dhambi hiyo ya ubaguzi na kuwa kinyume na bosi wako haitakuacha salama
Chutama
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hahaha we jamaa umenifurahisha kweli sjui Chadema watakuja kusaport kundi Gani kutupiga mwingi au umagufulificationSasa hivi kwenye siasa za bongo ni battle kati ya Magufuli na Samia.
Kuna watu wapo nyuma ya haya majina mawili wanayatumia kwa maslahi yao.
Kuna watu wanaomtukana Magu ili kumfrahisha Mama aone yeye anatenda mambo ya maana kuliko mtangulizi wake, lakini sio kweli wanamtakia mema Mama wanafanya hivyo ili kupata support ya ikulu. Wanataka warudishe power iliyopotea.
Ila ukirudi kwa wananchi nyota ya mchezo ni Magufuli.
Wakati hayo yote yakiendelea ndani ya CCM jamaa wa Chadema hawaelewi hata sasa hivi wanapigania nini mara mama anaupiga mwingi mara mama anazingua mara katiba mpya yani wamepoteana hawajui hata kinaendelea nini kwenye maisha yao.
Hakuna aliye msafi huko mbogamboga wanachojali ni kuyajaza matumbo yao na kuwapatia ajira ndugu zao.
Wanakera sana, hasa wanapotumia nyingi kuwahadaa wananchi kwamba wanawapigania, kumbe ubabaishaji mtupu.Hakuna aliye msafi huko mbogamboga wanachojali ni kuyajaza matumbo yao na kuwapatia ajira ndugu zao
Ukweli ni kwamba mama hawezi kujitenga kwa namna hoyote ile na awamu ya tano!! Kama kuna mazuri yeye ni sehemu muhimu ya mazuri hayo ni kama kuna mabaya yeye pia ana mchango muhimu katika mabaya hayo!! Wanaomponda JPM na kumsifia Mama wanamtukana kisirisiri!!Huo ni mtazamo wako. Lakini awamu hiyo ndio ilikuwa inatia taarifa za uongo kuliko awamu zote. Na ujue uongo hushika ukashikamana kama unavyoaminishwa mpaka leo kuwa miradi yote ilikuwa hela za ndani.
Majinga hays anamchukulia dictator kama mungu. Yakiambiwa tukague pesa za mikopo yanaanzisha shule za uongozi. Pumbavu kabisaHivi nyie mazezeta,huyo dikteta magufuli yeye Ni Nani kwenye Nchi hii? Eti Samia asifanye mambo kujitenga na dikteta magufuli,
Muacheni mama awatumikie watanzania, dikteta hakuna zuri lolote ambalo mama anaweza kuiga kwake kenge nyinyi!
Muacheni Samia apige kazi, nyie endeleeni kumuabudu mungu wenu bandia
Wameshindwa hata kuweka oxygen kwenye ambulance watu wanafikiri njianiWanakera sana, hasa wanapotumia nyingi kuwahadaa wananchi kwamba wanawapigania, kumbe ubabaishaji mtupu.
Watu wa siku hizi ni waelewa sana hivyo hizo ngonjera zao zina mwisho tu.Wanakera sana, hasa wanapotumia nyingi kuwahadaa wananchi kwamba wanawapigania, kumbe ubabaishaji mtupu.
Inategemeana na rais. Siyo kila mtu ni rais.Unaijua nguvu ya rais aliyopewa na katiba ya nchi hii?
Rais anaweza kuwaua wafuasi na mashabiki wa Magufuli wote halafu asishitakiwe popote.
Huyo mungu wenu JPM mbona alikuwa anamponda Kikwete,ihali nayeye alikuwepo kwenye serikali ya Awamu ya nne?;Ukweli ni kwamba mama hawezi kujitenga kwa namna hoyote ile na awamu ya tano!! Kama kuna mazuri yeye ni sehemu muhimu ya mazuri hayo ni kama kuna mabaya yeye pia ana mchango muhimu katika mabaya hayo!! Wanaomponda JPM na kumsifia Mama wanamtukana kisirisiri!!