Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,607
Simuelewi! Eti mtu aliyetoka mirembe achukue uongozi!:huenda alibanwa sana katika awamu ya tano.
Nasikia TRA wameshafika kwakeKabisa Mkuu. Yule Kolimba alitamka maccm yamekosa mwelekeo wakamkolimba. Mangula aligoma Membe kufukuzwa bila kufuata katiba ya maccm akapewa sumu lakini yote hayo hawayaoni.
Jamaa kasema kweli dhalimu magufuli kuwa ni mwendawazimu na hakustahili kuingia Ikulu wameshamtishia kumuua. Sasa anaishi kwa hofu kubwa.
Diallo ni mbabaishaji na ni kweli alikuwa halipi kodi miaka kibao.Kitendo cha Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ndugu Anthony Diallo kuamua kukisema vibaya chama na viongozi wake ni kitendo kibaya kwa maadili na ustawi wa chama.
Watu wa aina hii wanafanya hivi wakidhani wewe utalinda maslahi yao na kuwa upande wao. Ukweli ni kuwa watu hawa katika utawala uliopita walibanwa kwa sababu ni wanafiki na walihujumu uchumi kwa kukwepa kodi.
Rais, usikubali watu hawa wajiweke karibu na wewe, watakuharibia. Watu aina ya Diallo hawapaswi kuendelea kuwa viongozi wa chama kwa ngazi yoyote.
Nakuamini sana Rais wangu, usikubali kuchezewa na kuwa karibu na mafisadi hawa.
Mbona tumemuelewaHebu rudi kwanza darasani ukajifunze somo la mwandiko.Comment inatia kichefu chefu hata kuisoma