Rais Samia kuutaka Uongozi wa Serikali ya Wanafunzi Vyuo Vikuu Kuhakikisha wanampata Rais Mwanamke ni suala la ajabu sana

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,051
71,367
Kwenye mkutano wake ule wa juzi na Viongozi wa Wanafunzi vyuo vikuu

Rais Samia, alilikazia sana hili Suala, Tena akawa kama anafanya manipulation hivi Et "Tena akipatikana nikiwa bado Rais, mnaweza nufaika zaidi"

Sasa,
Mimi ni mtu nayeamini katika Ubora , Uwezo, uthubutu, Akili ya mtu .

Kiongozi Mkuu wa Nchi, unaposimama Mahali, kuwataka watu wachague Viongozi Si Kwa Ubora wao Bali Kwa kua ni MWANAMKE , ni jambo la ajabu sana !!.

Nadhan Rais Samia, alipaswa kuwahimiza wanafunzi wa like, wanaojihisi wanauwezo zinapotokea chaguzi, wasimame mbele , wagombee, wapigiwe Kura , ikitokea wamekubalika, basi WATASHINDA .

Kwa Hulika hii ya Mama Samia,ndio Sababu aliamua kutuchagulia Kwa mara yakwanza Waziri wa Ulinzi mwanamke.

Kwa Mara ya kwanza ,anatuingiza Wanawake wengii sana kisa ni Wanawake wenzio.

Nadhani Kwa hulka hiyohiyo, Huwa anataman hata wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama, wawe wote ni Wanawake ?....hii ni mihemko ambayo Kiongozi hupaswi kua nayo !.

Unapoona Kiongozi mwanamke, ambaye naye safari yake ya uongozi haiamin ,na kuhisi ni safari alobebwa bebwa mpaka hapo Kwa Jinsia yake ya Kike, Sasa naye anataka mambo Yale yale ya kubeba beba Kwa kigezo Cha Jinsia ya Kike, hili ni suala la Ovyo sana.

Tunahitaji watu wenye Uwezo ,ambao watatupa matokeo Chanya, sio sababu tu ni Wanawake.

Masuala ya "kwakua Mimi ni mwanamke, Sasa nataka chini ya utawala wangu, awepo mwanamke wa kwanza Waziri wa Ulinzi,, mwanamke wa kwanza Mkuu wa Jeshi la polisz mwanamke wa kwanza CDF, mwanamke wa kwanza Mkuu wa usalama , mwanamke wa kwanza Mkuu Mahali Fulani, na pale na pale na pale Sio suala la Afya .
 
Maajabu ni kwamba, watafanya kama walivyoambiwa, ndo ujue nchi hii watu wake ni maajabu ya Dunia
 
Hiyo Nzuri Sana Wala sioni tatizo maana Mama yupo Sahihi katika vitu vingi nadhani maadili ya uislamu yamemfanya kuwa Bora Sana.
 
Vutu unavyoviona ndani ya Dunia hii zaidi 95% vimetengezwa na Mwanadamu kulingana na uhitaji wake, asilimia zizobakia vipo kutokana na nguvu ya asili au kwa wengine wanaoamini wanasema vipo kwa sababu ya mpango wa Mungu!.

Inawezekana ikawa ngumu kwako kunielewa, ila uharisia ndio hiyo kauli ya Mh Dr Samia!.
 
Mtu yeyote anapaswa kuchaguliwa/kuteuliwa kwa sababu ya uwezo alionao...kuangalia jinsia, kimo, rangi, kabila nk ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine!.
 
Kwanini alaumiwe dobi kutakasa kaniki angali tunajua rangi ya nguo!? Alisikika rasta mmoja wa kale
 
Nadhani akili yake ndo inamwambia hivyo! Jinsia kwake ni Kila Kitu sababu hakuchaguliwa kwa sanduku la kura!

Naomba samahani wanabodi. Huwa nawaza Hivi viongozi wa kike wakienda safari yao ya moon 🌕 yenye complications kama kuumwa tumbo au mgongo na kujaa hasira na wasiweze kuja ofisini Hivi ni nani Huwa anafanya kazi zao, au pia boss mwanamke akiwa kwenye moon na akawa amejaa emotions na hasira akafanya maamuzi ya jazba kugombeza staff inakuwaje?


Na je boss akibeba Mimba halafu anakuja ofisini na Mimba Ina Tabia ya kuwa na jazba , kukasirika ovyo ovyo , na kuchukia watu Hivi hii inakaaje!?

Halafu wakina mama nowadays kujazana maofisini watoto wao kulelewa na mahousegal wakawafundisha mambo mazito ya wakubwa hii imekaaje?kizazi Cha nyoka kinajengeka!!

Mara boss mwanamke safari Kila siku Hivi huko ndoani kukoje?! Na huko anakosafiri kama kaweka vijiti inakaaje??

Mademu wote rusheni mawe machache na madogo madogo!!
 
Nadhani akili yake ndo inamwambia hivyo! Jinsia kwake ni Kila Kitu sababu hakuchaguliwa kwa sanduku la kura!

Naomba samahani wanabodi. Huwa nawaza Hivi viongozi wa kike wakienda safari yao ya moon yenye complications kama kuumwa tumbo au mgongo na kujaa hasira na wasiweze kuja ofisini Hivi ni nani Huwa anafanya kazi zao, au pia boss mwanamke akiwa kwenye moon na akawa amejaa emotions na hasira akafanya maamuzi ya jazba kugombeza staff inakuwaje?


Na je boss akibeba Mimba halafu anakuja ofisini na Mimba Ina Tabia ya kuwa na jazba , kukasirika ovyo ovyo , na kuchukia watu Hivi hii inakaaje!?

Halafu wakina mama nowadays kujazana maofisini watoto wao kulelewa na mahousegal wakawafundisha mambo mazito ya wakubwa hii imekaaje?kizazi Cha nyoka kinajengeka!!

Mara boss mwanamke safari Kila siku Hivi huko ndoani kukoje?! Na huko anakosafiri kama kaweka vijiti inakaaje??

Mademu wote rusheni mawe machache na madogo madogo!!
Ile tu kua na kiongozi mkuu ambaye anapelekewa moto haijakaa sawa

Maana anaepelekewa moto lazima awe submissive kwa anaempelekea sasa hapo kuna nini tena.

Sijui hata nimeandika nini ila najua kuna G.T wataelewa.
 
Back
Top Bottom