Suleiman mchawi WA Rhymes
JF-Expert Member
- Apr 24, 2022
- 405
- 1,012
Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa;
kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
1.5 trillion baada ya bwana yule kupisha akampishishisha aliyemulika torch 1.5 trillion.
Anafanya vizuri kwenye nini?Mama anafanya kazi nzuri sana , bigup kwake , angemongezea meno prime minister , mana usimamizi ni asili ya mwanaume ,
Kakaribishwa leo sijui jana jukwaani analeta zogoJiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Kwenye kusema stupid nyambafuu!Anafanya vizuri kwenye nini?
Kama hujui eneo analofanya vzur basi we ni kiaziAnafanya vizuri kwenye nini?
Hatujakutuma. Jisemee mwenyewe. Mimi naona anachapa kazi. Wewe hijatumwa uwasemee watu, jisemee mwenyewe.Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa;
kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Uthibitisho ni upi sio mnaongea vitu ambavyo havina substance1.5 trillion baada ya bwana yule kupisha akampishishisha aliyemulika torch 1.5 trillion.
Anafanya vizuri kwenye nini?
Kwahiyo ww unafikiri watapisha!??!??😂😂😂Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?
Hiyo midege muasisi wake ni nani acha tuanzie huko huko maana hakukuwa na nafasi kama hii ya kujadili mambo yake.Wewe kibwengo jadili madudu ya utawala wa Samia! Mnapenda kujificha kwa JPM nyie mazombi!
Hama nchi dadaTusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Angekuwa hafurahii , asingeruhusu matumizi holela ya fedha za umma. Mara safari za nje za viongozi ni yeye anaidhinisha misafara, hafla nk. Unadhani fedha zingetoka wapi? Ndio maana JPM alizuia hayo!Jiangalie Mdomo usije ukaponza kichwa....wewe unadhani yeye anafurahia haya yanayofanyika?