Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...

Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT🙏
Kuchomeana kwake ndo wanavimbiwa? Yaani wanachomeana mpaka wanavimbiwa kuchomeana?
 
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT🙏

Wewe ni manga wa kienyeji??

Mbona nashindwa kuelewa ulicho andika hapa.
 
Amuunge mama au akuunge wewe wezi nyie.
Punguza jasiba mkuu,mzigo bado upo,njoo pm tuungane kumuunga mkono mama.

4052b00499a8a01d9fbb.jpg
 
Siyo kwa viongozi tuu, Mtu yeyote yule anayeongea kabla ya kupanga nini cha kusema, wapi pa kusemea, na namna ya kusema ni mtu mropokaji. Bahati mbaya kwa Tanzania ni kwamba hao ndio viongozi.

Na pia sio lazima Rais aandikiwe nini cha kuongea, hapana! Muhimu ni yeye mwenyewe kujiandalia nini cha kuzungumza. Vladmir Putin anajiandikia hotuba zake yeye mwenyewe, na hajawahi kutoa boko.
Tumlaumu mbowe maana chadema ndio sabab ya yote haya..hahaha
 
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?

Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya

Natanguliza shukurani

Watu tumeshasema siku nyingi kwamba hakuna Rais hapo. Kuna kivuli cha Rais tu!
 
Upotoshaji KAZI piKWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT🙏
 
Utauvimbisha moyo wako upate CARDIOMEGALY bureeee......🤣🤣

Mama yuko poa sana.....

Unapandishwa jazba KIRAHISI kwa KUDOKOLEWA maneno ya UPOTOSHAJI ?!!!😳
Ameshindwa hata kufanya uchanganuzi kidogo...tuna shida ya uelewa
 
Nimwendo wa kujipimia...unakula vizuuuti miradi usivimbiwe!! Kavipi unachukya unawapa hata ndugu zako ili usile vyooote wewe ukavimbiwa!!!
 
Hivi unaweza kuvimbewa usitoe ushuzi kweli? Kwa nini tusiwambie wakanye kwanza kuliko kuwa acha waendelee kula
 
Back
Top Bottom