Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 140
- 579
Asubuhi tutampokea Sagara akitokea Mkoa wa Manyara na kwenda eneo la Minga kuzindua Shule 12 za Singida zilizojengwa kisasa kwa mradi wa "boost".
Kuzindua barabara ya Itigi - Mbeya kilomita 56
Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Manyoni utakaofanyika Itigi
Ataenda Wilaya ya Ikungi Kufungua Vituo viwili vya Polisi vya Kisasa vya Ikungi na Mkalama
Atasalimia wananchi Kata ya Puma iliyopo Wilaya ya Ikungi.
Asubuhi Kuzindua Daraja kubwa Wilaya ya Mkalama
Mkutano mkubwa wa Hadhara Uwanja wa Bombardier uliopo Singida Mjini ambapo ataadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa Mkoa wa Singida kwa kuoneshwa Makala maalumu tulipotoka, tulipo na tutapotarajia kufika kimaendeleo kama Mkoa. Baada ya hapo ataongea na wananchi.
Ataenda mji mdogo wa Shelui Kukagua maendeleo ya Umeme vijijini ambapo hadi sasa vijiji 129 kati ya 180 vya Mkoa wa Singida vimewashwa umeme.
Kuzindua Mradi wa Maji Shelui- Ziwa Victoria.
Ni yeye punga jamaaHuyu ndo suphian wa kule twitter..?🤔🚮🚮
Ni hilo lijingaHuyu ndo suphian wa kule twitter..?🤔🚮🚮
Jamaa ajielewiRubbish, umeweka no iliupate uteuzi? jinga kweli, fanya kazi pale Manyoni kuna ardhi nzuri ya Korosho watu wametoka Moshi, Mwanza, Arusha, Manyara, Mbeya n.k wanyiramba mmelala usingizi wa pono na nyumba zenu za tembe
Shoga kabisa jamaaNi hilo lijinga
Wanyiramba ukimtoa Lissu wengine wote ni wavivu haswa, kuna mwekezaji mwaka jana alikuwa analalamika anatoa wafanyakazi Mwanza na Shinyanga wanyiramba akilipwa harudi anaenda kuoa na kunywa pombe za kienyeji ndiyo type ya Suphian kujipendekeza apate uteuziJamaa ajielewi
Nakubaliana na wewe hizo tuhuma hata Msigwa alikiriShoga kabisa jamaa
Naunga mkono hoja 👍👏Wanyiramba ukimtoa Lissu wengine wote ni wavivu haswa, kuna mwekezaji mwaka jana alikuwa analalamika anatoa wafanyakazi Mwanza na Shinyanga wanyiramba akilipwa harudi anaenda kuoa na kunywa pombe za kienyeji ndiyo type ya Suphian kujipendekeza apate uteuzi
Ni wavivu sn sijui kwanini?Naunga mkono hoja 👍👏
Ataachaje? hukuona picture kule twitter walipiga na jamaa ake?Uchoko umeacha?
Ah ah Mkuu sio wavivu bali wanalidhika mapema Yani mtu anaweza kwenda kibaruani Kisha akipata 10k apo kesho umuoni lakini nyuma yake watoto kama kumi ivi wanamuangalia kazi kuwatuma mchana jua Kali kutafuta zile nyanya poli kwenye mashamba ya watu na kuchuma mlenda (limbe) kwenye vumbiNi wavivu sn sijui kwanini?
Ni wajinga sn, lakini wana ardhi nzuri inakubali mahindi, alzeti, mtama, korosho, mbaazi n.k, MO kaiba kawaachia nyumba za tembe, Mwigulu anaiba kwa kasi then asepe zake wamelala tu hawa wajingaAh ah Mkuu sio wavivu bali wanalidhika mapema Yani mtu anaweza kwenda kibaruani Kisha akipata 10k apo kesho umuoni lakini nyuma yake watoto kama kumi ivi wanamuangalia kazi kuwatuma mchana jua Kali kutafuta zile nyanya poli kwenye mashamba ya watu na kuchuma mlenda (limbe) kwenye vumbi
Hata wanyamwezi asee, wanafanya kibarua changu kinaelekea kubaya 😠🤠🤠😏😏Ni wavivu sn sijui kwanini?