Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,534
- 39,428
Kiufupi taasisi ilivamiwa na mamluki. Hatukuwahi kushuhudia vituko nchi hii kutoka idara ya usalama wa Taifa kamaa serikali ya awamu ya 5.Tatizo awamu ya 5 iliweka mamluki wengi sana kwenye hiyo taasisi ili kutimiza malengo ya bwana yule mwenda zake na hao ndio wanao leta shida kubwa.