Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 695
Mh.Rais najua nimechukua hatua kubwa sana kukushtakia huyu bwanamdogo .anaekaimu Ofisi ya DSO Kiteto .anawaita watumishi Ofisini kwake na kuwatishia kuwapiga, vitisho visivyo na msingi.
Amewazuia watumishi kutoka Arusha na longido waliokuja kwenye mafunzo bila sababu za msingi. Hatuelewi hatma yetu kama watumishi kwa kifupi tunanyanyasika sana na ni kama Mkuu wa wilaya anamkingia kifua.
Mh rais najuwa nimeruka stage lakini tunakuomba utuondolee hii balaa/laana kwenye wilaya yetu.