ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,605
Zitatengewa pesa ya kutosha ya maintenance.KWa taa hiz hiz zinazotegemea solar na maintenance ya kuunga unga?.
Nafikiri tuboreshe kwanza maeneo muhimu ila automation ifanye kazinkwa ufanis kurahisisha maisha
Tatizo dogo sana hilo kwa serikali kama itaamua. Mikoa yote mikubwa wafanye hii kitu. Makosa ya barabarani yatambuliwe kwa Camera. Polisi kazi yao iwe kukamata magari yenye fain sio kuziingiza hizo fain.KWa taa hiz hiz zinazotegemea solar na maintenance ya kuunga unga?.
Nafikiri tuboreshe kwanza maeneo muhimu ila automation ifanye kazinkwa ufanis kurahisisha maisha
Ni sahihi. Umeme wa uhakika na ubora wa vifaa tumika ni preliquisites muhim sana kwenye hili na hilo wenzetu hilizingatia ndio maana wakisha hama huko.Zitatengewa pesa ya kutosha ya maintenance.
Dunia yote inatumia taa za solar Wala hakuna shida.
Hapo kwenye kuamua ndio ulipo mzizi wa fitina.Tatizo dogo sana hilo kwa serikali kama itaamua. Mikoa yote mikubwa wafanye hii kitu. Makosa ya barabarani yatambuliwe kwa Camera. Polisi kazi yao iwe kukamata magari yenye fain sio kuziingiza hizo fain.
Rais Samia ameagiza kuanza kuondolewa Kwa Matrafiki ambao walijigeuza Wala Rushwa Barabarani badala yake ametaka zifungwe Kamera na Taa Ili Kuongoza magari.
View: https://www.instagram.com/p/C5VjILqt4nW/?igsh=eXJuZWZwZGI2MWlw
My Take
Naunga mkono hoja ya Mh.Rais.
Trafiki waligeuza usalama Barabarani kuwa mradi wa kuvuna pesa za Rushwa Kwa maderva huku ajali na makosa mengine yakizidi kuongezeka.
Kenya wameweza na sisi tuanze maana tulichepewa sana.
Tukitoka hapo tufungue kamela kwenye Mahospitali na kuwavalisha kamela maafisa wa TRA.
Kwenye hili uwezekano ni mkubwa litafanyika sababu ni chanzo cha mapato. Kuna faini nyingi sana zinaishia mikononi mwa trafic.Hapo kwenye kuamua ndio ulipo mzizi wa fitina.
Ujue kama tungeamua, tusingekua hapa leo hii kama taifa. Ni kama China au Singapore walivyoamua
Mnakopelekaga mboga 😁😁Acheni unaa, tukale wapi?
Faini sio chanzo Cha mapatoKwenye hili uwezekano ni mkubwa litafanyika sababu ni chanzo cha mapato. Kuna faini nyingi sana zinaishia mikononi mwa trafic.
Toshekeni na mishahara yenu 😂
Picha ya juu kabisa inafikirisha,!
Hapa kwetu ni mapato na huenda yapo kwenye bajeti. Hujawahi sikia askari mbele ya camera anasema tumevuka lengo la makusanyo barabarani?Faini sio chanzo Cha mapato
Kamera hazitazuia faini kuwa Mapato,swala ni kuondoa TrafikiHapa kwetu ni mapato na huenda yapo kwenye bajeti. Hujawahi sikia askari mbele ya camera anasema tumevuka lengo la makusanyo barabarani?
Upo sawa. Camera zitaondoa hilo, huwezi zipa camera target ya makusanyo.Kamera hazitazuia faini kuwa Mapato,swala ni kuondoa Trafiki
Kabisa…tuone budget ya hizo taa na camera na hizo automation process nyingine.Lifanyiwe kazi ndio tupongeze, sio agizo pekee.