Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,762
- 5,276
Ukiachana na ishu za USHOGA ambazo inaonyesha ni favorite topic yako, upo quite free minded and intellectually honest, which in fact, is not bad at all.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Acha kunililia mtandaoni.. mimi sio babako.Wewe ni mpumbavu sana inamaana kila anaemzungumzia kiongozi wa serikali basi ni mpinzani huna akili timamu
Wakianzisha hilo group wakamuweka humo na dokta jafo itapendeza.Dr. Samia, Dr. Msukuma, Dr. Babutale same whatsapp Group.
😂😂😂😂🙈🙈🙈View attachment 2855688
Hawawezi kututoa kwenye kumbukumbu hii.
Yote ni kumsafisha ila inajulikana alichokipata tu hapo kwenye shule ya upili.
hahahaa ccm mbele kwa mbeleKuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.
Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Ph.D za Honoria Causa zinatambuliwa na chuo husika tu. Kwahiyo anayepewa degree hiyo anatakiwa atambulishwe na chuo kilichompa heshima hiyo tu sio nje hapo.True, naunga mkono hoja, PhD za Honoria Causa, sio official title ya kuitwa Dr, ila kwenye social gatherings na kwenye events ni sawa kumu address as Dr. na ndio maana kwenye press release za ikulu, huwezi kuona Rais Samia akiandikwa Dr.
Hili niliwahi kushauri Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?
P
Naomba tusiwahukumu watu kwa matokeo ya makaratasi, kuna watu wengi wana akili nzuri tuu, ila wanamatokeo mabaya kutokana na sababu kadhaa wa kadhaa. Cha muhimu angalia uwezo wa mtu na utendaji wake.View attachment 2855688
Hawawezi kututoa kwenye kumbukumbu hii.
Yote ni kumsafisha ila inajulikana alichokipata tu hapo kwenye shule ya upili.
"Matokeo ya makaratasi" ni akisi ya kilichomo kichwani.Naomba tusiwahukumu watu kwa matokeo ya makaratasi
Mwalimu Nyerere Pamoja na kuwa nazo lukuki hakuwahi kujiita Dr Kambarage Nyerere.Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Hatuhitaji kumuhukumu ameshajihukumu tayari ndani ya miaka yake 3!Naomba tusiwahukumu watu kwa matokeo ya makaratasi, kuna watu wengi wana akili nzuri tuu, ila wanamatokeo mabaya kutokana na sababu kadhaa wa kadhaa. Cha muhimu angalia uwezo wa mtu na utendaji wake.
P
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba.
Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea huo Udaktari darasani (PhD), mfano Dr. Magufuli au Dr. Tulia.
Mtu aliyetunukiwa Udaktari wa heshima hapaswi kabisa kuitwa au kujiita Daktari. Udaktari wake unabaki kuwa wa heshima na sio Udaktari wa Title. Hizi ni kanuni za utoaji wa Doctorates.
Samia hapaswi kuitwa Dr. SAMIA kwa sababu hakusomea Udaktari (PhD). Alitunukiwa tu.
Hili swala lazima litangazwe watu waelewe ili kuepusha matapeli.
Tutakuja kupigishwa gia za mwendokasi
Sijasikia mwalimu akijiita daktari japo alipewa nyingi za heshima. Nafikiri uliyosotea darasani ndio halali kuitwa daktari, mwalimu alilijua hilo.Pia Si lazima hata aliyesomea PHD kutambulishwa Kwa Cheo hicho kimasomo,
Africa tuna TABIA ya kutishana na Elimu,utendaji zero.
Yule Allien Obama, mbona ana Doctorate tena Kutoka havard, mbona haitwi au kujitambulisha kama Dr Obama?
Kwako DR BICHWA KOMWE!!
mpaka tuombe poo. Dr. Manyaunyau, Dr. Masantula.
Elimu izingatiwe!
Marekani Iko Hivyo Tanzania ndio Kuna ulimbukeniNa pia mtu anayepaswa kuitwa Dr ni yule anayefundisha chuo kikuu kama hafundishi au ameacha hata kama ni PhD holder hapaswi kuitwa Dr au Professor
Hata Benjamin Mkapa (Rip) alikuwa nazo kadhaa lakini hakujiita Dokta.Nyerere alipata PhD kadhaa lakini hakuwa akiitwa Dakta...
TCU wanasemaje juu ya hili?View attachment 2977484View attachment 2977485PhDs: People who receive honorary doctorates need not be called 'Dr'
The SA Association of PhDs says it is inappropriate for a recipient of an honorary doctorate to use the title “Dr” before their name.www.sapeople.com