Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,357
- 23,760
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi.
Na kwamba siku hiyo ya Uchaguzi hakutakuwa na vurugu ya aina yoyote ile, kwa sababu vyombo vya Ulinzi na Usalama vipo imara , tayari na vimejitayarisha kuwalinda watanzania na usalama wa Taifa letu.
Kwa Ujasiri Mkubwa Rais Wetu Mpendwa akatamka ya kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na anawahakikishia Watanzania kutamalaki kwa amani ,utulivu na usalama Nchini. Na kwamba hicho ni kipaombele kikubwa.
Mama yetu Mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Haitakuwa na maana ikiwa kwa sasa watajitokeza kwa wingi katika mikutano ya kampeni halafu wakajitokeza wachache kwenda kupiga kura. Rais wetu Mpendwa ametoa Rai na kuwasihi watu kwenda kupiga kura kwa wingi na kuichagua CCM ili iweze kuwaletea maendeleo na kuendelea pale ilipoishia.
Rais wetu Mpendwa amesema ya kuwa serikali ya CCM imefanya kazi kubwa sana ya kutatua kero mbalimbali ikiwepo kuunda tume mbalimbali za kushughulikia changamoto mbalimbali. Na kwamba kazi hiyo itaendelea kufanyika. Amewataka watanzania kutojihusisha na vurugu za aina yoyote ile na badala yake kulinda amani yetu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.