Rais Samia hafanyi ziara Marekani, amekwenda UN

Rais Samia hafanyi ziara Marekani, amekwenda UN

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
23,284
Reaction score
28,444
Post zinazohusu Rais Samia kwenda Marekani zinapotoshwa kisiasa lakini Mods mnaziacha zipotoshe!

Taarifa ya serikali ilisema wazi kuwa Rais anakwenda UN na si ziara ya Marekani, hata hivyo Mods mnaacha upotoshaji huu uendelee sijui kwa manufaa ya nani!

UN haimo kwenye serikali ya marekani japo ofisi zake ziko marekani, ni sehemu inayojitegemea kwa kila kitu.
 
Mods, nyie huwa welesi sana kubadili vichwa vya Post za baadhi ya watu, pia kuhamishia Post kunakostahili, lakini baadhi hata kama haiko sehemu husika mnalazimisha ibaki hapohapo! Post zinazohusu Rais Samia kwenda Marekani zinapotoshwa kisiasa lakini Mods mnaziacha zipotoshe! Taarifa ya serikali ilisema wazi kuwa Rais anakwenda UN na si ziara ya Marekani, hata hivyo Mods mnaacha upotoshaji huu uendelee sijui kwa manufaa ya nani! UN haimo kwenye serikali ya marekani japo ofisi zake ziko marekani, ni sehemu inayojitegemea kwa kila kitu.

Unamaanisha nini?

Kwani hatatua marekani?

Hata lala marekani?

Hataongea na wamarekani?

Hataongea na diaspora waishio marekani?

Hebu fafanua zaidi
 
Mods Post hii mmeihamisha kusudi ili opotoshaji kwenye ukurasa wa Siasa uendelee.
Mjadala wa Rais kwenda Marekani uko kwenye ukurasa wa siasa hii Post mnaiweka kwingine nini maana yake!
 
Mods, nyie huwa wepesi sana kubadili vichwa vya Post za baadhi ya watu, pia kuhamishia Post kunakostahili, lakini baadhi hata kama haiko sehemu husika mnalazimisha ibaki hapohapo! Post zinazohusu Rais Samia kwenda Marekani zinapotoshwa kisiasa lakini Mods mnaziacha zipotoshe! Taarifa ya serikali ilisema wazi kuwa Rais anakwenda UN na si ziara ya Marekani, hata hivyo Mods mnaacha upotoshaji huu uendelee sijui kwa manufaa ya nani! UN haimo kwenye serikali ya marekani japo ofisi zake ziko marekani, ni sehemu inayojitegemea kwa kila kitu.
Mkutano ni wa siku ngapi?
 
Back
Top Bottom