GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,844
Kabisa!Lakini Jamaa alikua anasisitiza kabisa,kua haya ni maelekezo ya Dr Samia amenituma nisimamie haki za watu, sasa kama kuna watu waliweka imani zaidi kwake hilo ni tatizo lao!!
Kabisa!Lakini Jamaa alikua anasisitiza kabisa,kua haya ni maelekezo ya Dr Samia amenituma nisimamie haki za watu, sasa kama kuna watu waliweka imani zaidi kwake hilo ni tatizo lao!!
Kwani mteuaji anaangalia hilo?? Wangapi walishashindwa kazi miaka mingi lakini kila pangua pangua hawaguswi?!!Slaa kama ni Waziri mzuri atafanya kazi huko huko na ataonekana tu
Aisee wameng'oa stand. Kapoteza mpaka ubungeSlaa kama ni Waziri mzuri atafanya kazi huko huko na ataonekana tu