Rais Samia Awasili Zanzibar

Rais Samia Awasili Zanzibar

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amewasili Zanzibar leo akitokea Jijini Mwanza.

Mh Samia aliondoka jijini Dar kuelekea Jijini Mwanza leo asubuhi
Mtaliii…
 
Hii nchi hatutoboi hata iweje maana kila kiongozi akiingia anaingia na kikundi chake wanakula raha hadi muda wao ukiisha wanasepa wanaingia wengine,Sisi huku mitandaoni tunapigizana kelele wao wanatuangalia wanacheeka.
Haaaa, ulikuwa unajidanganya kuwa tutatoboa! Laghasha hilo halitatokea ikiwa watawala ni wale wale.

Shetani bado yupo mitaani, mpaka tumtokomeze motoni ndio tutasalimika, vinginevyo sisi ni wa shimoni tu.
 
Umeme shida, maji shida, ajira shida, umachinga shida, mfumuko wa bei shida,kiongozi mkuu wa upinzani 'kaidi'... hapa nchi ipo kwenye halingumu tusidanganyane!!
Inafaa safari zote zisitishwe hata VP naye arudi haraka serikali ikae kutafakari tunavukaje hiki kilima na korongo linalofuata tusije singizia kudra za Mola ama kuita wananchi makaidi!!
Serikali itupe mipango thabiti kuna hatari ya mvua chache na njaa nyingi tusifumbe tuu macho kujidai hatuoni
 
Back
Top Bottom