Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,826
- 14,018
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amewasili Zanzibar leo akitokea Jijini Mwanza.
Mh Samia aliondoka jijini Dar kuelekea Jijini Mwanza leo asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh Samia aliondoka jijini Dar kuelekea Jijini Mwanza leo asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app