Rais Samia apokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola

Hicho kifimbo mbona ni kama vile ibada ya sanamu flani hivi na wenzetu hawa wa ile imani ya Saudia na mambo hayo ya masanamu mbona mbali mbali kabisa sasa inakuaje mama anakubali kugusa hicho kifimbo!!
Hajakigusa tu nimesikia kwenye mkutano wake anakibariki “Anamuomba Mungu kibariki kifimbo hiko na kukitaki kheri kifika Salama “

Sijui ni Mungu gani atakayebariki kifimbo na kujibu maomba ya Rais wetu. Binadamu walioumbwa kwa Mfano wa Mungu wanapeleka maombi kwa Mungu.

Mungu badala ya kusikiliza Maombi ya binadamu wake asikilize maombi ya Kifimbo.
 
Kifimbo cha malkia kwani ni malki wetu huyo, hii michezo inareinforce neo-colonialism, tuachane nayo
 
Back
Top Bottom