Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 308
- 425
vijana punguzeni unafiki, mnasifia hadi mtu anashtuka.Kijana acha roho mbaya, kuna sukari na pressure.
Wewe kwa mwezi unatumia mafuta ya kula kiasi gani? Unasafiri mara ngapi? Unatumia sabuni kiasi gani? Vyakula gharama yake sh ngapi? Sukari kiasi gani? Unajenga? Km ndiyo unajenga gharama za nondo, cement, bati, misumari, n.k ni bei gani?Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono...
Kwa mfumko huu wa bei watalia njaa kuliko awamu zote zilizowahi kuwepo. Mark my words si uzuri tuko nao kitaani.Kwa hio watu wote 60m waajiriwe serikalini?
Au unatakaje boss?!
Ila kwa mbaaali nakuona una dalili za kuwa mchawi. Waache waliobahatika kuwepo serikalini wafaidi uwepo wa mama na we endelea kulima tumbaku mama atapandisha bei msimu huu.
Waambie urusi na Ukraine waache vita uone Kama bei haishukiMleta mada unafugwa kwa shemeji yako mwajiriwa wa serikali?
Maisha yamekuwa ghali sana katika uongozi wake ww unataka tumpongeze kwa kuongeza mshahara kwani yeye ndio wa kwanza kufanya hivyo??
Apunguze gharama za maisha tutampongeza.
Acha utoto na uchawa wa kingese aisee.
Alisahau wote lkn hakukuwa na mfumko wa bei kiasi hiki. Kwa kiasi kilichoongezeka na mfumko wa bei huu, walahi mtasema bora ya awamu za nyuma maana km ulikuwa unaingiza laki 5 ukatumia 4 na kubaki na laki 1, sa hivi ukiingiza laki 6 baada ya nyongeza utatumia laki 6 na 20 elfu ya kukopa 😂😂 we subiri tu ujionee mwenyewe. Yajayo yatafurahisha zaidi.Sasa jpm ambaye alisahau wote
Hii Ni Vita ya urusi na Ukraine hupaswi kumlaumu Samia. Hata jpm angekumbwa na hii Vita Bei zingekuwa juu tuAlisahau wote lkn hakukuwa na mfumko wa bei kiasi hiki. Kwa kiasi kilichoongezeka na mfumko wa bei huu, walahi mtasema bora ya awamu za nyuma maana km ulikuwa unaingiza laki 5 ukatumia 4 na kubaki na laki 1, sa hivi ukiingiza laki 6 baada ya nyongeza utatumia laki 6 na 20 elfu ya kukopa 😂😂 we subiri tu ujionee mwenyewe. Yajayo yatafurahisha zaidi.
Tulia huko huna jipya! Vita na vorona lipi lilikuwa janga zito kwa ulimwengu? Na haka kangetufungia ndani walahi.Hii Ni Vita ya urusi na Ukraine hupaswi kumlaumu Samia. Hata jpm angekumbwa na hii Vita Bei zingekuwa juu tu
Samia mpaka 2100Tulia huko huna jipya! Vita na vorona lipi lilikuwa janga zito kwa ulimwengu? Na haka kangetufungia ndani walahi.
Hizi hoja za kutumia bei za vitu kupima performance ya Leadership ya Samia ni dhaifu sana.Wewe kwa mwezi unatumia mafuta ya kula kiasi gani? Unasafiri mara ngapi? Unatumia sabuni kiasi gani? Vyakula gharama yake sh ngapi? Sukari kiasi gani? Unajenga? Km ndiyo unajenga gharama za nondo, cement, bati, misumari, n.k ni bei gani? Piga nyongeza ya mshahara toa mfumuko wa bei uone km kuna la kumpa sifa. 😂 mafuta ya kula na sabuni tu vinamaliza kanyongeza kooote. Hakuna la maana hapo sifa alistahili endapo kusingekuwa na mfumko wa bei kiasi hiki.
Tuhakikishie faida ya ongezeko la mshahara kama vitu vimepanda bei. Amepunguza ukali wa maisha au ni dana dana tu? Mkulima nu fursa wapi wakati akipata faida ya elfu 10 haina faida kwenye matumizi ya kila siku.Hizi hoja za kutumia bei za vitu kupima performance ya Leadership ya Samia ni dhaifu sana.
Mnatupa kupanda kwa nondo na simenti ili ku justfy hypothesis gani? Kwanza watanzania hawajengi kila siku, mtu akijenga mara moja imekwisha. Mnawatete watu gani hapa wanaoumia...
Hivi shuleni ulisoma nini? Unamwaga pumba kama mfanyakazi wa zizi la mifugo!!Tuhakikishie faida ya ongezeko la mshahara kama vitu vimepanda bei. Amepunguza ukali wa maisha au ni dana dana tu? Mkulima nu fursa wapi wakati akipata faida ya elfu 10 haina faida kwenye matumizi ya kila siku.
Majibu kama ya mama au nchemba tu eti watanzania hawajengi kila siku, lini umekuta maduka ya vifaa vya ujenzi yamefungwa nchi nzima kuwa leo hawajengi?
Sa hivi hakuna unachoweza kusema una control nacho maana vimepanda vyote.
Wenye fikra finyu ndo majibu yao haya hasa wakikosa maelezo ya maana ili kuficha upunguwani wao kwenye suala fulani ilimradi wakuzime! Kalia kushangilia tone la maji (nyongeza ya mshahara) kwenye bahari (mfumko wa bei).Hivi shuleni ulisoma nini? Unamwaga pumba kama mfanyakazi wa zizi la mifugo!!
Mbona hilo tone la maji mungu wenu wa Chato hakuliongeza kwa miaka yote 5 akiwa Ikulu?Wenye fikra finyu ndo majibu yao haya hasa wakikosa maelezo ya maana ili kuficha upunguwani wao kwenye suala fulani ilimradi wakuzime! Kalia kushangilia tone la maji (nyongeza ya mshahara) kwenye bahari (mfumko wa bei).
Hakika mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Anachokifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa watumishi wa umma na wengine, hakiwezi kupita bila kuungwa mkono.
Rais Samia amefanya mambo makubwa sana kwa watumishi katika namna tatu.
Hivi karibuni Serikali ilitangaza ongezeko la kima cha chini cha mishahara kwa asimilia 23.3, kikokotoo cha mafao kupanda haki asilimia 33 kutoka asilimia 25 na posho ya safari kutoka Sh. 12,000 kwa mwezi hadi 250,000.
Hiyo ni kwa kiwango cha juu, lakini pia kutoka Sh. 80,000 hadi Sh. 100,000 kwa mwezi kwa watumishi wa kiwango cha chini na kusaidia kupunguza ukali wa maisha kwa watumishi nchini Tanzania.
Bila shaka, hatua alizochukua Rais Samia zinatokana na mabadiliko ya muda na mazingira hasa ukizingatia kwamba watumishi nchini Tanzania katika kipindi cha miaka sita hawajawahi kupanda ongezeko lolote katika mishahara yao.
Imani yetu kwa sasa sisi Watanzania ni kuona kwamba jambo kama hili linakwenda kutokea katika sekta binafsi pia. Ni ukweli usiopingika kwamba katika sekta binafsi ndiko kuna watu wanaolipwa mishahara mikubwa sana lakini pia ndio hukohuko wapo wanaolipwa mishahara midogo sana. Serikali tulivu ya Rais Samia, tunaamini kwamba muda hautokuwa mrefu sana hadi kusikia viwango vipya ya mishahara katika sekta binafsi.
Hatujaumbwa kuja kukosea tu, na watu tuliowapa dhamana kutongoza sio malaika, hivyo tuaamini kwamba wanakosea, na hapo tunawajibu wa kuwarekebisha. Kama tuna haki ya kuwarekebisha, basi tuwe waungwana pia kumwaga sifa pale wanapofanya vyema kulingana na matarajio yetu. Hiyo inawapa motisha wa kufanya kazi na kuujenga uzalendo zaidi mioyoni mwao.
View attachment 2244247